Selfika na JF: Snap it. Show it

Nipo naugulia maumivu ya ugoko hapaaa sijadondoka sijateleza wala kujichoma ila hio sehemu inauma as if nimeteguka panauma balaaa itakua ninini??? Majeraha ya uzeeni yanataka yanipararaishe ama???
Maumivu ya sehemu hiyo yalikuwa yakinisumbua sana, mie nikadhani ni sababu ya mamipira niliyokuwa nacheza...
Lakini tiba yake mie nilikuwa naenda ufukwenu pekupeku, nitakimbia Kisha nitaogelea kwa muda mrefu sana.. siku hizi havinisumbui kama zamani umeingia ugonjwa wa magoti sasa
 
Kwenye shape humu shoouz angu anazidiwa na BL tuu.
Wengine wote kawafunikaaa, shape km Masogangee.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Ko nimepitwaa shape ikiwa ndani ya Abaya?
Aaaah jamaniii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…