EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 4,310
- 13,954
Utasema tu na maumivu huwa yanahama tu mara mguu wa kulia kwenye goti mara kushoto kwenye dole gumba.Ila nakuhakikishia utayafata masharti yote na dawa utazitafuta.Maumivu yatakunyooosha.Pole.Hadi chainizi duhhh!! Mie na kulima nazilima ndo mboga yangu kuu ya majani mbona balaa duhhh