Duh.. Uthibitisho nilitegemea kuupata kwako..
wewe ndio legendary wa hizi mambo,so, endeleea kutafiti uko kwenye chaneli zako za asilia then unipe mrejesho ikiwa hii kitu ni kweli ama fiction tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
shisha hamna kitu mle, ni mbwembwe tu.Mkuu mbona moshi wote nje si bora avute shisha basi.
Kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo sio mzima,, ana file lake mirembe
Sent using Jamii Forums mobile app
It's youMkuu, ID yako inanikumbusha Paulo Sergio De Souza. The man, the myth, the legend.
It's you
True say.shisha hamna kitu mle, ni mbwembwe tu.
sisi watu tunaoamini katika africanism ideology huwa tuna prefer fresh, original and uncontaminated herb plant from the farm.
sijawahi kutumia shisha na wala sitakuja jaribu cos huwa nahisi mchanganyiko wake una makorokoro mengi ambayo sio rafiki kwa afya ya mwili na ubongo.
ni mtizamo wangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji1780]
[emoji2296][emoji2296]Mbona huwataji? Kuna mahali niliona unaitwa sukari ya warembo. Nikasema hiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134]
Sio wewe ndo unasema hapana?..hata mimi imepita miaka sasa, ilà nakomaa tu kwani nishazoea kuambiwa hapana!!
[emoji32][emoji32][emoji32]Piga picha tuma nyumbani wazazi waone, maana leo nimetoka chicha mpaka tembele akasome/View attachment 1291338
It's Scars
Hapana bora hiyo penshen atengeneze mashine kwanza ndo mengine yaendeleeUnaipaki.
😍😍😍 za weekend finnese chick?[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Photo saved to this device
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani bossladykaribuni chai and gahwa wakuu[emoji4][emoji4]View attachment 1291312
Sent using Jamii Forums mobile app
Sister maria nakusalimia kwa heshima zote[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji1780]
Mkuu umepaka lipshinePiga picha tuma nyumbani wazazi waone, maana leo nimetoka chicha mpaka tembele akasome/View attachment 1291338
It's Scars
Naona una timu unamiliki upo vizuri sana, naomba niweke hisa
Nimekumbuka kombe la mbuzi msasani magunia enzi hizo.
Mkuu niambie mzee mwenzangu naona unatupia biaView attachment 1291099
Mchana mwema wana jf, weekend imeanza mdomdo...