We nawe una mdomo kuselfika aaahh πΉπΉwin-one pokea maua yako kwasababu umeacha picha muda mrefu na it Seem ww ni mwanamke huna heka heka. Kwa jinsi ulivyojisitiri.
Ila hebu fanya kama Tayana-wog anavyotoaga maelekezo. Iga mfano ule ππππ
Au ficha macho tu . Mbona wenzako wanaonyeshega mpaka vidoti Seran ππππ
Umejuajeπ€£π€£π€£π€£π€£, napenda kosoma wanavyoandikaπHalafu wewe unapenda shengesha nishakuona πΉπΉ
Beautiful π₯Hiyo hapana alooo πΉ
Labda hii
Nimejiunga juzi j2 na nishatuma picha 2 humu.We nawe una mdomo kuselfika aaahh πΉπΉ
Nipo Rafiki ,unataka kunibless?Tresor Mandala upo?π
πAu Kama unapita huu mtaa niambie nisiondoke ππππ.
Ila Selfika ni kama enzi zile za kukaa chobingo au Mingo kusubiria fame wapite upige miruzi na kuwasifia.
Au unasemaje ndugu zangu Ambition plus MFALME WETU
Maana umechoma maindi masaa mawili na kapita fame mmoja na kajitanda ππππ
Seran haya hii ya mwisho sitii neno tena π€π€π€π€
Duhπ€£win-one pokea maua yako kwasababu umeacha picha muda mrefu na it Seem ww ni mwanamke huna heka heka. Kwa jinsi ulivyojisitiri.
Ila hebu fanya kama Tayana-wog anavyotoaga maelekezo. Iga mfano ule ππππ
Au ficha macho tu . Mbona wenzako wanaonyeshega mpaka vidoti Seran ππππ
πΉπΉFull kuteleza tu ..... yani tena imejileta yenyewe π
π€£π€£π€£Yan humu ukipepesa macho kidogo tu ukirudi unakuta manyoya tu
Seran Tayana-wog ephen_ leo dada irudiwe basi
nasubiri izo selfie kabla sijaanza kulewa View attachment 3604529
Maana siselfiki,picha inabakiπ,nishafuta.Selfika mrembo
shem bana! leo nishamaliza, subiri wapite wengine tu au tena ndo mpaka nilewe! πAu Kama unapita huu mtaa niambie nisiondoke ππππ.
Ila Selfika ni kama enzi zile za kukaa chobingo au Mingo kusubiria fame wapite upige miruzi na kuwasifia.
Au unasemaje ndugu zangu Ambition plus MFALME WETU
Maana umechoma maindi masaa mawili na kapita fame mmoja na kajitanda ππππ
Seran haya hii ya mwisho sitii neno tena π€π€π€π€
asante, Melo inabidi afanye namna hii picha kubaki haiko sawa, thatβs means picha zinabaki kwenye serverMaana siselfiki,picha inabakiπ,nishafuta.
Hii ni nzuri, una reply unapita hiviπ,unaacha shengesha.asante, Melo inabidi afanye namna hii picha kubaki haiko sawa, thatβs means picha zinabaki kwenye server
shem bana! leo nishamaliza, subiri wapite wengine tu au tena ndo mpaka nilewe! π
masaa mawili hayajapita! uko chupa ya ngapi? maana leoπ€
kwa siku za kazi hizo 4 zinatosha kabisa!Nimechoka tu shem. Siku ilikuwa nzito. Kichwa kimelock. Ila Ndio namalizia kili ndogo ya 4..
Ila enough is enough. Fine for today.
UsifuteHaya narudi kufuta
πΉπΉπΉBeautiful π₯
Punguza ukubwa wa bango
Weka mimi sijaonaNimejiunga juzi j2 na nishatuma picha 2 humu.
Kwa mwanaume that is highest we can go ππππ
Nilikuwa nasubiri uniambie ww shem ππππ. Naendakwa siku za kazi hizo 4 zinatosha kabisa!
Haya ukapumzike sasa!
πumeipenda?Min naomba saa π