Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwani ukinipa kuna shida gani maka 😹

Ngoja nikupe story sasa..



X nilifungua parody nikajipa jina flani very unique. Sasa tukawa tunajibizana sana issue za politics Kumbe kuna mdada akajua mi mwanaume akaanza shobo mara arepost tweet zangu, likes nyingi..



Ikabidi nichungulie page yake nikakuta yupo vizuri ila mashauzi mengi. Nikaanza ku like na kumsifia..!!



Eeh..!! Kumbe kimefall bhana 😹

Basi nakuta tag kwenye zile nyuzi za watu wanaovutiwa nao X na wanaume kule wananijaza “Oyaa mwanetu maliza pisi imekuelewa” Mi nakufa kucheka 😹



Sasa kuna siku kazama dm anajichekesha basi nikatafuta desa langu la mtongozo kuna jamaa mmoja alikuwa ananiimbisha nikatambaa nalo. 😹

Mdada anachekelea balaa, kila akinitengenezea mazingira ya kunipa namba nachomoa..!! (Najua alichokuwa anataka) Sa mi mkia nautoa wapi jamani..!!



Nikapotea kama mwezi kurudi nakuta dm nyingi za malalamiko kwanini simzingatii..!! 😹

Kuna siku akanitumia pics zake ana night dress na kibikini kinaoenkana 😻😹😹

Nikamkumbuka hapa angekuwa shost yangu Dr. Mariposa asingechelewesha angempiga finger kwa muonekano ule..!!



Sasa bhana nilivyomsifia ikawa fungulia

Mpka nimedinda ... penye miti hakuna wajenzi !!!!
mbwa mpk mpodido natumiwa 😹
 
Habari za Jioni Wana selfika
IMG-20260609-WA0033.jpg
 
Back
Top Bottom