Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,320
Huenda ilikuwa ni menu maalumu kwa wageni waoWamesema hawana na hawajawahi kua nao
Kama una mtu DSM mwambie wakupakilie kwenye sgr, ni mwendo wa kusubiri dakika 120 tu
Naamini hotel kubwa kubwa za hapa mjini watakuwa wanapika kwa oda