Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Urojo na mazaga yake unaweza kupika?
Naweza na ni rahisi sana yale mazaga yake ndio huchosha uanze kachori,nyama mayai mbogamboga crips bagia sijui nini 😁 uje kwenye rojo aisee bora uwe unapika mle wengi ila peke yako inatia uvivu kimtindo
 
Naweza na ni rahisi sana yale mazaga yake ndio huchosha uanze kachori,nyama mayai mbogamboga clips bagia sijui nini 😁 uje kwenye rojo aisee bora uwe unapika mle wengi ila peke yako inatia uvivu kimtindo
Nakuonea donge! Huku kuna sehemu nilikua nakunywa haukua mzuri kivile lakini nilikua naridhika.
 
Back
Top Bottom