Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,668
- 83,423
Heee! Unawajua wote humu?Mimi wote nawapenda sana , nataka mkae na amani humu.
Heee! Unawajua wote humu?Mimi wote nawapenda sana , nataka mkae na amani humu.
Marafiki tu , hwuwezi jua kila mtuHeee! Unawajua wote humu?
Thank youMnaoselfika kuweni makini humu, picha zenu zinareflect taarifa muhim. Unaposelfika hakikisha background ni white na black hii inaficha location. Msiweke picha zilizo na picha za mijengo au mazingira. Weka filter kidogo you now at safe hand.
VView attachment 3603488
Usinitibue mavuzi.Wewe kadada tulia , wewe nilikupenda mpaka nililia😃
Hahaha huko tumavuzi hakuna kitu 😃Usinitibue mavuzi.
ephen_
View: https://youtu.be/7eF9g16LgHI?si=yFIUdXCPTH3kHKqa, kula ngoma kutoka kwa daktari bingwa wa kina mama
Sasa wewe una akili timamu 😹Mm nampenda
Mhmm ephen , wewe ni mdada nilieye kupenda kupenda kwa moyo wangu wotNaomba unipumzishe
Lamp mambo !!Sasa wewe una akili timamu 😹
Sitaki hata ugomvi na mtu, niacheMhmm ephen , wewe ni mdada nilieye kupenda kupenda kwa moyo wangu wot
😹😹😹 We nawe em niache sitaki kucheka nimechoka..!!Nasikia tu Pawa Mabula, Pawa Mabula. Pawa Mabula ni nani kwenye uzi huu? Na hicho cheo alikipataje? Ni compliment kwa maana ya kwamba ana maguvu sana au ni diss kumaanisha kuwa ni kibonge kupitiliza? Why?
Uzi huu aliyeuanzisha inasemekana alikuwa anajihusisha na mambo ya nguvu za giza. Pengine una laana ndiyo maana huwa haupoi yaani hauwezi kupita mwezi bila hekaheka dah! Hata ambao bado mnauza sura na kuanika mi/ma/vi-tako humu mna mioyo aisee!
KipenziSitaki hata ugomvi na mtu,
Subiri nije pm kukuchambaKipenzi
Acha ubahili wog 😹😹Duh hongera , ziivyo bei ss
Mi mpk ss ht sielewi nitumie nn, mi napakq chochote nashukuru Mungu ngozi yangu haina shida pia maana heka hela za sikin care siziwezi
Una haraka ya wapi? Lamp ndo nani. 😹Lamp mambo !!
Lamo si unajua kama pesa mimi sio shida znagu😁, nyie ni wangu wote ebu fanyeni kunishtua mlewe chapuu😅Una haraka ya wapi? Lamp ndo nani. 😹
Em tulia min acha pupa..