Ilikuwa siku ya kuselfika, kosa umzidi mtu hata vuzi ndio kama hivi!π€£Kuna nini ndugu
β€οΈMore love less ego, peace and love.
ππππ unataka kutoa na wewee?? Njoo nikufunde mwali wangu, na huu mwezi ndio wa kujidaii, sema nikukatie tickets twende zetu taifa teule tukasherehekee, mambo yako π₯ huko, na Mzee Neta ni Mgeni rasmi.Ww nae em kapeleke mkungu Huko, mwanaume mzima unatoa nnya.
Aisee ninacho kama Cha posshπMahi kwani una Kidoti na wewe? πΉπΉ
Watu wanaforce u Jokate kwa wanja
βUkiwa muongo usiwe msahulifuβ wao wanasahau km ndio walileta hayo mambo hata sikujua mpaka huyo Mbaga aliponiambia pmIla nimecheka sana, Eti Anasema kumbe alikosea kumuita mwenzie Mnafiki, kisa kuhusu picha sio zake, na wakaombana msamaha, sasa kwani hilo la kusema picha sio zake tulisema sisi, au m1 wao ndio alibwata humu ndani, na sisi tukachochea tu,
Wao ndio walisema wana picha zake OG na sio alizotuwekea sisi hapa, sasa hii ngenga inatoka wapii? Ila Watu ππππ
Ndio madhara ya Umbea wa kujifunza ukubwani, unasahau hansard zote, Lol
Kuhusu Gugo lenzii wala sio jipya humu ndani mahi, ndio maana baadhi ya memba wameondoka kisa ni hiyo, na tulisanuliwa if unataka kuweka picha, fanya ku screenshot kwani, details zinafichwa.
Labda km kuna jipya jingine, na Lifike tu. Litapokelewaa.
ππππ utaweza ku host mahiii??Tupewe vipindi udugu πΉ
Pawa mabula mtamu, n ww tuu na jasho zako za KariakooHapo sawa, una stress sana mwili hauna nuru itakuwa pawa mabula anakunyonya sana damu..!! πΉπΉπΉ
Hapo ndo Azam kumbe?
Niombee kipindi nije kufundisha uwekezaji na vijana..!!
Na uduguu wangu apewe cha SHENGESHA ZA KITAA NA COCASTIC πΉπΉπΉπ
Hongera sio cha kukandika na wanja km wenzio πΉπΉAisee ninacho kama Cha posshπ
Hahaha nina selfika kali kinouma , kesho nipo free nikilewa nitazipost πIlikuwa siku ya kuselfika, kosa umzidi mtu hata vuzi ndio kama hivi!π€£
Week imeanza poaπRhabhekhaaa Mlongoooo, ππππ
Naweza nashindwaje sasa? πΉπΉππππ utaweza ku host mahiii??
Tamu sana hiiβUkiwa muongo usiwe msahulifuβ wao wanasahau km ndio walileta hayo mambo hata sikujua mpaka huyo Mbaga aliponiambia pm
Bwana post na leo kishundu masta aanze kujigonga kama kawaida yake! πHahaha nina selfika kali kinouma , kesho nipo free nikilewa nitazipost π
Sili mikungu mm, Endelea na wanaume wako wanaokofukuaππππ unataka kutoa na wewee?? Njoo nikufunde mwali wangu, na huu mwezi ndio wa kujidaii, sema nikukatie tickets twende zetu taifa teule tukasherehekee, mambo yako π₯ huko, na Mzee Neta ni Mgeni rasmi.
Shughuri iko na tunatamba nayoo!!!
Poleee wee!! πππ
ππππ uduguu, una nini lakiniii?βUkiwa muongo usiwe msahulifuβ wao wanasahau km ndio walileta hayo mambo hata sikujua mpaka huyo Mbaga aliponiambia pm
Kkoo kuna jasho la pesa na ndio ndoto ya kila kiumbe duniani kunukia jasho la pesa πΉπΉπΉPawa mabula mtamu, n ww tuu na jasho zako za Kariakoo
Kwahy hua navaa suruali za kiume au za kike?ππππ unataka kutoa na wewee?? Njoo nikufunde mwali wangu, na huu mwezi ndio wa kujidaii, sema nikukatie tickets twende zetu taifa teule tukasherehekee, mambo yako π₯ huko, na Mzee Neta ni Mgeni rasmi.
Shughuri iko na tunatamba nayoo!!!
Poleee wee!! πππ
Ndio nan huyo? Hii mpaka nilewe, hapa na usingizi wa hatari. na siku 2 sijalalaBwana post na leo kishundu masta aanze kujigonga kama kawaida yake! π