Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila Lamomy kuacha kusema nilikuwa namtaka h imeniuma sana, mana ameongea mengi ila hilo la umuhimu ameliacha πŸ˜‚
Niliona najishusha kusema nilitakwa na wewe alooooo..!! 😹😹😹

Kwahiyo unajieleza ili uonekane ulijaribu?
Know your place Mbaga
Wewe poa kwa power Mabula mnamatch kinyama..!! 😹😹😹
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Acha tu yaani ni kasheshe lecture anafundisha wa kausha damu wanakutumis sms ya vitisho πŸ˜‚
😹😹😹😹 Wii hapo kudisco nje nje..!!
Mi order za wakongo zikiingia nakimbia kipindi..!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mabwakuuuu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mabwakuuu!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nacheka km mwehuuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…