Wewe tafuta issue nyingine huna uvumilivu 😹😹Ni post 🤣 kwenye simu yangu majina sijui kama yanafika 50 siku naamka na delete delete watu fake🤣🤣
Tunapambana Shem tusitumike hovyo..!! 😹Safi sana
SijaionaHaya mie nimepita naked 🤣
🤣🤣🤣🤣 sawa acha niuze mama ntilieWewe tafuta issue nyingine huna uvumilivu 😹😹
Mimi mwenzio hata ex wangu sijamblock kuna siku nimepost mzigo kaupenda na kwa vile ex bei imejidouble nafidia muda wangu niliopoteza kwake..!! 😹😹😹
Bidhaa ya 150,000 nilimtoza 300,000 anasema unifanyie deriver mwenyewe namuitikia okay boss akilipia anapewa boda.. 😹😹
Siwezi hata kwa dawaSijaiona
VizuriAmeeen tupogo
Za ww
Uliadimika
Hadi jina lako utasahau ohooo 😅 utakuja humu unaandika nyuzi za mahaba tu 😅😅🤣Asantee
Na ilo joto la Tanga mbona ntasahau mpaka nilpotoka 😋
Ndio vzr hy, huwa nahitaji sana , T-shirt plains, jersey nitakutafuta ,unifanyie uwingaTunapambana Shem tusitumike hovyo..!! 😹
Nimependa Avatar yakoHadi jina lako utasahau ohooo 😅 utakuja humu unaandika nyuzi za mahaba tu 😅😅🤣
Hata hiyo mama ntilie yako itangaze upate wateja..!!🤣🤣🤣🤣 sawa acha niuze mama ntilie
KaribuNdio vzr hy, huwa nahitaji sana , T-shirt plains, jersey nitakutafuta ,unifanyie uwinga
Sawa maa na jiko naliweza piaHata hiyo mama ntilie yako itangaze upate wateja..!!
Nowadays watu wavivu kuja kula huko mgahawani wanataka uwafanyie deriver, hapo ndio muda wa wewe kuchukua order km winga.
Andaa package nzuri pelekea wateja msosi maofisini na majumbani upige pesa..!!
nikija nitakupigia simu unifanyie delivery maana nina miaka sijaja kariakoo nais ntapotea 😁Eeeh napiga uwinga bhana..!!
Karibu Dar uniungishe kiongozi..!
Unavyojua sasa kuwatetea watu wako, hata huruma kwa Wazee hakuna 🤪Hapo najua ulikuwa huna la kumwambia,, sasa wa huko akiwa hivyo eti ashike dawa!!!¡ Hiiii
Wale sio watu wa mchezo mchezo kama unavyowaelezea hapaMe huko nakuelewa vizuri.
Wana mambo lakini si kama story zinavyosema.
Halafu mi nimezunguka sehemu nyingi Tanzania usukumani hakuna uchawi ila story ni nyingi
Njoo usijali hata ukitaka kufikia kwangu haina shida 😹nikija nitakupigia simu unifanyie delivery maana nina miaka sijaja kariakoo nais ntapotea 😁
Shem darling njoo hebu🤭 Castle_Lite
God forbid 😁Hadi jina lako utasahau ohooo 😅 utakuja humu unaandika nyuzi za mahaba tu 😅😅🤣
Si kule uliponiambiaga 🤭Zimetangulizwa kijiji cha wapi? 🤣
Hahaha........kuwa na huruma na Wazee 😅Mtu wa kuangalia wazee si kuna ma professional kabisa kwanini uchoshe wajukuu? Muda kama huu tunaenda hata paris huko sio kuniletea habari za kukuanika nje kila asubuhi akhaa!