Hiyo pic ya pili bado unanifananisha?Alaf kama namfananisha hivi. Anyway. Ngoja nipotezee. 😂😂😂🤣
Picha ya 2 aliyopost imekaa vizur.
Mtoto wa watu yuko poa. Mashallah.
Kanizidi mbaliiMpaka amekuzidi wewe
Eka mamaake☺️Seran nakuwekea Full body uliyotaka muhimu no quote
Subiri niwawekee! Mbona una sura nzuri pua imejibana kama mzungu na kalips kadogodogoMimi huwa naweka ila sura siwezi kuweka hapa😅
Umepitwa sirudiiMtu muhimu kabisa wewe
Hakuna wa kukupinga, umetisha sana, kali sana🚶🏿♂️➡️🚶🏿♂️➡️🚶🏿♂️➡️Mimi huwa naweka ila sura siwezi kuweka hapa😅
Thank you😊, bado weweHuna deni. You Looking good.
Hongera.
Shenzi uliichukua?🥹Subiri niwawekee! Mbona una sura nzuri pua imejibana kama mzungu na kalips kadogodogo
Acha bwana kuna ingine umeweka?Umepitwa sirudii
Asante sana mkuuHakuna wa kukupinga, umetisha sana, kali sana🚶🏿♂️➡️🚶🏿♂️➡️🚶🏿♂️➡️
Ninayo! Bado tena una kidoti kati ya pua na mdomo.Shenzi uliichukua?🥹
Weka tena ingine mkuuAsante sana mkuu
Wanja niko sekondari, kwahiyo ephen umetunza picha yangu sio😂 mapua hayo yamepanuka ndio uweke humu? Acha basi🥹Ninayo! Bado tena una kidoti kati ya pua na mdomo.
Au ulikichora na wanja?
Mimi ntaweka tena baadae wacha tuwakomalie hawa waweke kwanza😊Weka tena ingine mkuu
TayaliiEka mamaake☺️
😪Umepitwa sirudii
hapana.Hiyo pic ya pili bado unanifananisha?