Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,291
- 95,605
HahahahaWatu wakikureply kwenye picha haifutiki inabaki, inabidi ukipita watu wasiquote ile picha yako.
Ila wabongo sasa hawasikiii 🙌
HahahahaWatu wakikureply kwenye picha haifutiki inabaki, inabidi ukipita watu wasiquote ile picha yako.
Ila wabongo sasa hawasikiii 🙌
Yap yapMambo ya fursa hayo😁
ShesRise_1 na win-one kazi hiyoMtu akini tag comments ambazo bado zina picha zangu, nam-bless na vocha
🤣😪😪Akituma ni tag
HahahahaUtajua hujui🤸🏽♀️
Kumbe wa wote kama ni hivyo natuliza kishundu mama la mamaWewe na mwenzio ShesRise_1 kuna kitu mnanitafuta..!! 😹😹
Huyo mkaka wa wote ana haki ya kumpenda wowote humu acheni zenu..!! 😹
Nimecheka! Mimi ndio nishaacha kuhangaika tena loh!Kwa miujiza ya Mungu
Changamkia fursaHuhuhuhu kumbe ni serious hivi 😁😁
😅😅😅 si ndiyoHahahaha
Hainisumbui ila nawashangaa🤣We hilo linakufanya uwaze 😅😅 poleee me ndio I like yaan👌
Leo Mbaga kuna watu walijifanya wanamjua sana akaamua apite naked🤣🤣 JF lol
Nasubiri
Hapana sitaki. Kuforce atakuja tu 😂Siku hizi hawaletwi unafanya kuforce tu ma mkali😆
Una dharau binti dah hii imeniuma aiseee nipeni fimbo ya mpela then wote mrudi nyumaShesRise_1 na win-one kazi hiyo
Umetoa SIRI😂😂😅😅😅 si ndiyo
Useme sasa vocha za shingapi ili tuanze kazi 🔥Mtu akini tag comments ambazo bado zina picha zangu, nam-bless na vocha
😀😀 umemuoana lakin mbagaHainisumbui ila nawashangaa🤣
Sawa sawa ,sema tukijileta mnakimbiaSiku hizi hawaletwi unafanya kuforce tu ma mkali😆
Sasa je? 😹Kumbe wa wote kama ni hivyo natuliza kishundu mama la mama
Dah ila sijapendaSasa je? 😹
Ya kweli haya?mkuu mbona unashangaa😁