Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,431
- 94,851
Wewe warembo wote walioselfika hujaridhika? 😹Tupia hata moja
Wewe warembo wote walioselfika hujaridhika? 😹Tupia hata moja
Na nyie sasa msiwasakame kama mambo yao hayajakaa sawa jifunzeni kuwakataa bila kuwakebehi.yaaaas uwe unafundisha na vijana wenzio waache ufwalaa🔥
We familia kabisa nihangaike nini sasa?Mbaga Jr na Mpaji Mungu acheni kututisha hebu 😹😹😹
Msitake kuniambia mlienda kunigoogle 😹
Em mnipe matokeo yangu napatikana wapi Ig au TikTok na Fb 😹
Usiniambie picha zangu za jana zipo masijalaDah! Masijala ishakuwekea risiti cocastic 😹😹😹
Nimekuona umepita naked 😹Usitutanie ujue
Huyo toka jana anasema hana mkopo popote 🤣🤣Mahi wako amepita naked 🔥🔥
Hebu mkanigoogle basi 😹We familia kabisa nihangaike nini sasa?
Una machale sana😁Sijaelewa
Shemejiiiiiiiiiìiiiiiiiiii
nilijua ukifuta picha inafutika kumbe zinabaki kwenye commentThe big Boss 😍😍😍
Jamani Likaka lihanshamu mamaa 🙆♀️
Huo uchebe sasa 🥰
Na ninamuoteaga sana 😂 sema humu nina bahati napo sanaHuyo toka jana anasema hana mkopo popote 🤣🤣
😹😹😹 Siwezi bana nazingua tu kijiwe kichangamke..!!Usiniambie picha zangu za jana zipo masijala
Swafi kabisaaHebu mkanigoogle basi 😹
Hapa labda nimtumie mbaga picha nimpe na showergel ya dove akasisimue MisuliHebu mkanigoogle basi 😹
Achana nazonilijua ukifuta picha inafutika kumbe zinabaki kwenye comment
Please ni tag ni comment ipi? Bhasi ziko nyingi humuNimekuona umepita naked 😹
Sema pic yako bado ipo fanya uitoe km hupendi ila km ulivyosema hujali iache tuitazame itufariji..!!
Uzi unatrend, nikilog in naukuta juu nafunguaUna machale sana😁
Watu wakikureply kwenye picha haifutiki inabaki, inabidi ukipita watu wasiquote ile picha yako.nilijua ukifuta picha inafutika kumbe zinabaki kwenye comment
Aiseeew🤣 haya wacha nimalizie wine yangu leo sukari iko chini sana, namsubiri SC kwenye uzi wake naye kalala mbele🤸🏽♀️🤣Uzi unatrend, nikilog in naukuta juu nafungua
Tuma namba uokote ShesRise_1 nishauza gunia moja tayariManeno haya sio mageni jijini aisee 😅
Au basi nitumie 100k chap basi 🤣🤣