Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,046
- 33,723
Acha ikae kama kuna zoez LA kucheza na maneno tenasi umesema unataka mshangazi au🤔, utampataje kama haujui kucheza na maneno mwanetu😂
Acha ikae kama kuna zoez LA kucheza na maneno tenasi umesema unataka mshangazi au🤔, utampataje kama haujui kucheza na maneno mwanetu😂
Corrie de killerVictor baia yupo tayari kuzuia
😂😂😂 mnanichekesha hukuu, Alooooh.Single faza mjitahidi kuwapa child support kwa wakati wanunue bra za kueleweka..!!
Stress Ni nyingi mpk wanaselfika nyonyo moja liko juu lingine chini km Masha love 😹😹😹
Single maza kina mama nyunyia wana umoja wao wa kuteta Ila walivyo hawapendani hawaambiani ukweli kwamba mwenzangu hiyo bra mikanda mibovu 😹😹😹😂😂😂 uduguuu hupoii kabisa wewee, khaaah.
Eti nani? Nyunyia? Aloooooh 😂😂😂
Nyuma ya pazia 😂😂😂Tangu lini kaka🤔me si muda wote nacheza efootball
Mateso yasiyoepukikaNadhan uliona soka safi
In masau Bwire Voice
😂😂😂 unanikumbusha shengesha yao na Chuga Gal, alimuambia Mr Mio hampagi huduma sahihi, anashindia malonya lonya na yuko maporini.Single maza kina mama nyunyia wana umoja wao wa kuteta Ila walivyo hawapendani hawaambiani ukweli kwamba mwenzangu hiyo bra mikanda mibovu 😹😹😹
😹😹😹😹 Udugu selfika basi nione karangi ka mtume..!!😂😂😂 mnanichekesha hukuu, Alooooh.
Nacheza PUBG mobile😅Nyuma ya pazia 😂😂😂
We tunajuana 😅Mateso yasiyoepukika
Ukifa tutazika jeneza ziko mingi.Naona mmenichoka😅wacha nife tuu
😂😂😂 uduguuu, watu wanatafuta Vibe Selfika, na wanakuta vioo vimefungwa, kurudi wanashindwaa, wanabaki kuchokaa, watu hawageuzi kisogoo atii, ni mbele mbeleee.😹😹😹😹 Udugu selfika basi nione karangi ka mtume..!!
Ewaaahh!! 😹Tutajitaid kuzingatia
Unatag wafu😅