nyauuuu hebu usilale kwanzaMapenzi uchizi mapenzi ukichaa Darassa
Ukiona hivyo jua tayali π
Sikupingi ππWakinga tumezidi kwenye pesa πΉ
Confidence tunazo tumebarikiwa kokote tunazitumia..!!
Mkinga umkute china ndo utajua km mshamba au vipi?
Tuna brand zetu za tv na subwoofer halafu majina ya bidhaa tumeweka ya vijijini kwetu..!! πΉπΉ
Nasubiri pic km ya siku ile πPole
We umetoka wapi saivi watu tumepita nakedπ€£Nimekuja sasa, haya wekaa kituu mwanakwetuu.
Nimechekaaaaa Aloooo!!! Hadi Uzi tena mwanakwetuu.π Acha nisiseme kitu ila huwa nakuzoom sana unavyowajaza humu πΉ
Jokes aside, anguko la mwanamke yoyote huwa ni kufikiri inabidi awe namna ambavyo wanaume wanasema au wanapenda kimatamanio. Ni a rate race, huwezi kushinda, hao hao wanaume unakuta wanakwambia rangi inamatter ameoa ambaye hana rangi, au kaoa ana rangi ya mtume ila wote anaocheat nao hawana hiyo rangi kwa sababu anasema ndiyo watamu.
Kuwa ambavyo upo, wapo wanaume wa kutosha watakaokupenda hivyo ulivyo.
Sikujua, hivi ni kweli ndiyo iko hivi? Acha baadaye nishushe uzi tuulize wanaume wa JF wanasemaje!
Hebu tupumzishe vyeusi mangala buana, tusije kuenda kujidabika carolight tukawa na rangi tatu tatu π
View attachment 3602205
Shorii wa ambition, umeona kuna mtu kapinga?Chombo ya nani?
Em ongeza volume.. π»
Wewe unanitafutia balaa na mademu zako..!! πΉ
Mi mkorofi mwenzio sitaki ugomvi.
π legendary maestroKakutana na dalali
BadoBuku
Kusini kuchelee mambo kuninogeaπ₯π₯Natokea kusini.
Khaaaah ππππNishapotezea ningetaka mbona ningewasha moto πΉπΉ
Nilijua alpanda mtumbwi wa kibwengo πΉ
Weekend hii mkuuNyie mna ujasiri sana ku selfika naked mchezo
Afu usiwasifie sana sasaHii sasa ndio nakeeeeed yenyewe ππ
Gentleman la mwaka wa mbele awww π₯π₯
Kuna wakaka wazuri humu halafu hamringi mko smart..!!
Nikiunganisha na tabia zako wewe ni Barack Obama wa JF ππ
Msiache kutupia pic kali km hizi tupunguze visirani wadada jamani..!!
Hapa nitalala vizuri shem, coca mume kapata Igweeeeeeeeeeee π«‘
Wee kesho ni sikukuu ya ekaristi nikiwa kama sehemu ya kumwaga maua inabidi niwahi kuuchapaπ legendary maestro
Jamaniiii, ππππView attachment 3602209
Yani hadi kusema asante tunaogopa, mara unasifiwa, mara unachambwa kwa kukosa nuru, ili mradi fujo tu ππ
Kusini moja huyoπSema Wallah
Mwana mpotevuKhaaaah ππππ
Zamu yako mie mchana nimepita uchii humu ndaniWeekend hii mkuu
Unategua mabomu mkuuππKitambo sana kwenye huu uzi sijapita