Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sina hatia Labella, sion sababu ya kujificha, mimi ni mtu huru.
Je unadhani jf ni salama sana? Kama kuna namna yeyote unavunja sheria ama uhalifu ni jambo la mda tu wakiamua kukupata
Aisee! Hiyo unaweza wewe..!!
Unajua humu kuna watu tunaishi nao au tulisoma nao. Ukiselfika akakujua tayari inakua kamzozo..!! 😹
 
Thanks guys for the good afternoon/evening. Niko safarini na kupiga stori hapa kumesaidia sana. Kucheka, kufurahi na kutaniana hivi ni jambo jema hata kama hatujuani. Cha muhimu tu ShesRise_1 aanze kuniita Daddy basi 😂😂😂

Enjoy the rest of your evening guys 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
🙏🙏🙏🙏 ufike salamaa
 
Aisee! Hiyo unaweza wewe..!!
Unajua humu kuna watu tunaishi nao au tulisoma nao. Ukiselfika akakujua tayari inakua kamzozo..!! 😹
I don’t give a fck, who cares?
Nilishaacha maisha ya kuwaangalia watu wanasema nini…hatuishi mara mbili.
 
Back
Top Bottom