Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sawa utanipa hivyo hivyo darling haina shida..!! 😻
IMG_20240606_180629.jpg
 
Kwahiyo umefanya hivyo kwenye picha zangu🤔
With all due respect, Yo Daddy prefers not to answer this question 😂😂😂🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

➡️ Hapana. Hiyo feature kwenye image engine nyingi ni mpaka ulipie. Ila ni vizuri kuchukua tahadhari. Kuweka emoji au swirls usoni eti usionekane ni kazi bure siku hizi. Ai is revolutionizing everything na ukiweka kitu mtandaoni watu wanaweza kukifanya cho chote wanachotaka. Ni vizuri kuwa waangalifu hasa enzi za AI.

Elon Musk ana kesi Ulaya maana kuna kipindi AI yake (Grok) ilikuwa inatumika kutengenezea picha za ngono ambazo ni realistic kabisa. Bahati mbaya baadhi ya sura zilizotumika zilikuwa za watoto. Wazazi wameenda mahakamani na nadhani atalipishwa mamilioni ya paundi!

We have to be careful dear 🙏🏿
 
With all due respect, Yo Daddy prefers not to answer this question 😂😂😂🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

➡️ Hapana. Hiyo feature kwenye image engine nyingi ni mpaka ulipie. Ila ni vizuri kuchukua tahadhari. Kuweka emoji au swirls usoni eti usionekane ni kazi bure siku hizi. Ai is revolutionizing everything na ukiweka kitu mtandaoni watu wanaweza kukifanya cho chote wanachotaka. Ni vizuri kuwa waangalifu hasa enzi za AI.

Elon Musk ana kesi Ulaya maana kuna kipindi AI yake (Grok) ilikuwa unatumia kutengenezea picha za ngono ambazo ni realistic kabisa. Bahati mbaya baadhi ya sura zilizotumika zilikuwa za watoto. Wazazi wameenda mahakamani na nadhani atalipishwa mamilioni ya paundi!

We have to be careful dear 🙏🏿
Yoooooo🥰
Thank u Tonny 💓
 
Thank u Tonny
 
Tuache kuselfika sasa..!
Bora umesema shem.

Ambition plus umeona
 
Back
Top Bottom