Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
Yaani sijui nn shida inagomaNipo hapa namsubiri mama mchunga!🤣
Nitajaribu tena then nawaita
Yaani sijui nn shida inagomaNipo hapa namsubiri mama mchunga!🤣
haya mamaaYaani sijui nn shida inagoma
Nitajaribu tena then nawaita
Waalykm Salaam, jike jenzaHapa ndo vizuri mamiloo! Samaleko🖐
Nipite wapi OrcaDeco au kwenye Pickleball pale Gymkhana 😅Nini sasa, hebu niambie! hafu pita basi mwanangu nikuone kidogo! 🙂
pita hapa nikuone bwana na umejuaje kama nipo orca deco?🤔Nipite wapi OrcaDeco au kwenye Pickleball pale Gymkhana 😅
Kwanii 🤣🤣pita hapa nikuone bwana na umejuaje kama nipo orca deco?🤔
Ninacho hapa alfajiri nikitoka lazima nikitie kiunoni kwaajili ya kujihami aisee, watu wabaya🫢Kwanii 🤣🤣
Au basi ila Orca si site ya sharp knives 😅
Ukongwe mwingiFootball
Fresh sweetheart missing youuuuu mwee karibu sana kijiwenii💋💋!Waalykm Salaam, jike jenza
Mambo?
Tunapasha shahawa motoUkongwe mwingi
kulikua kuna haja ya kutaja neno "shahawa"Tunapasha shahawa moto
Miss u more, nikakuwekea hadi picha...ulikuwa wapi jamani!Fresh sweetheart missing youuuuu mwee💋💋!
Macho yeshakuwa mabovu, mwenzio niliona kahawa ivookulikua kuna haja ya kutaja neno "shahawa"
Jaribu tena saii tuone mamchuKwwli kabisa .sijajua shida nn
Nichagulie wewe mjukui wangu, neno la kusemakulikua kuna haja ya kutaja neno "shahawa"
Tayari ushakuwa maji ya jioni, punguza chumvi, punguza sukari, kunywa maji mengi, pumzika mapema.Macho yeshakuwa mabovu, mwenzio niliona kahawa ivoo
kumbe mimi ndo nimekushtua🤣😅 pole da AngelMacho yeshakuwa mabovu, mwenzio niliona kahawa ivoo