Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkongwe mkongwe tuu kuna mwamba tunamwita Babu Pirlo kitaa😃age go kitambo kwenye game siku akija wote mnapoteana dimba mpk pumzi iishe ndo mnaanza kuonekana
mie ni mwendo wa kujikatia kipande changu, nikicheza 8, napiga pasi tu, nikicheza 6, nacheza ya kibosi kabisa, deeplying kabisa..nikicheza 10 ndio haswaa, natamba tu
Uzuri ninaocheza nao wanaelewa, ukiwaelekeza wanafuata maelekezo.. humo mie nacheza na maneno, vidole kwa sana.. vijana ukiwasisitiza tukabe wanakaba..
Kiukweli naenjoy sana kucheza nao, na sina uwezo mkubwa ila wale madogo wanaweza fika mbali., wasikivu, watiifu, wanaheshima kwangu.
 
Nimesoma najua ishuu za mpira wa miguu,

kumbe mpira wa mguu.
 
mie ni mwendo wa kujikatia kipande changu, nikicheza 8, napiga pasi tu, nikicheza 6, nacheza ya kibosi kabisa, deeplying kabisa..nikicheza 10 ndio haswaa, natamba tu
Uzuri ninaocheza nao wanaelewa, ukiwaelekeza wanafuata maelekezo.. humo mie nacheza na maneno, vidole kwa sana.. vijana ukiwasisitiza tukabe wanakaba..
Kiukweli naenjoy sana kucheza nao, na sina uwezo mkubwa ila wale madogo wanaweza fika mbali., wasikivu, watiifu, wanaheshima kwangu.
Veteran
 
Back
Top Bottom