bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,540
- 3,392
Nipo asee pilika tuSijambo ulipotelea wapi kijanaš
Nipo asee pilika tuSijambo ulipotelea wapi kijanaš
Hahaha ipo kazi kubwa sio kuzungusha mouse tu!Nice
Dear tafuta bluetooth mouse upumzishe vidole š
Safi tafuta pesa uje unipee sawa?Nipo asee pilika tu
Najua šHahaha ipo kazi kubwa sio kuzungusha mouse tu!
Umenikumbusha jamaa mmoja akiingia ofisini "nyie mmekunywa dawaaa lakinii maana mnapendeza tu" šSafi tafuta pesa uje unipee sawa?
Mkinywa dawa mnapendeza? Au mimi ndio sielewišUmenikumbusha jamaa mmoja akiingia ofisini "nyie mmekunywa dawaaa lakinii maana mnapendeza tu" š
Alikuwa anamaanisha vidonge vikubwa aka mbaazi š¤£š¤£Mkinywa dawa mnapendeza? Au mimi ndio sielewiš
Mimi sivijui nawewešAlikuwa anamaanisha vidonge vikubwa aka mbaazi š¤£š¤£
š¤£š¤£š¤£Mimi sivijui naweweš
Nini sasa, hebu niambie! hafu pita basi mwanangu nikuone kidogo! šš¤£š¤£š¤£
Usijali nitakutumia PMNaomba urudishe ulichofuta nami nikione tafadhali
Yaniii nlikua na wenge la kutoka kuamkašNi dada yake hapaš
Hapa ndo vizuri mamiloo! SamalekošUsijali nitakutumia PM
kakimbia, bora umekuja wewe upite tu šYaniii nlikua na wenge la kutoka kuamkaš
Mshatupia mrudie nisafishepo macho???
Nmeona hapo juu kumbe umepita spidi nlienda kubandika maharage nkapitwa dahhh!kakimbia, bora umekuja wewe upite tu š
nilitoa wakosa story wakiiona ndio mada ya miezi mitatu..sitaki nuksišNmeona hapo juu kumbe umepita spidi nlienda kubandika maharage nkapitwa dahhh!
Ngoja niweke mkaa kwajiko ndondo lisifubae kwanza ntakuita

Nasubiria kwa hamu... Fanya hivyo tafadhaliUsijali nitakutumia PM
Kwwli kabisa .sijajua shida nnDahhhh! inataka ijumaa yangu ianze hovyo ma mchungaji sijapentraaa!
Duh kwahiyo nimepitwq????nilitoa wakosa story wakiiona ndio mada ya miezi mitatu..sitaki nuksiš
usiache kuniita mama'ake![]()
Upooo?Nasubiria kwa hamu... Fanya hivyo tafadhali