Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Hamna sema kale kapicha kake kalikuwa fire sana siku ile..!!

Hivi mwanamke unaweza kunyetuka na pic ya mwanaume tu! Mi mbona siwezi 😹😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila mie ntakufa niko hoii.
Kuna Gentle huku namchezesha kidamalii, nikamchora atume ududu, si katuma kwelii, aloooh
Au baasi, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naangaliaa, alivyo na alichojaliwa tofautiii.
 
Na zinavyotisha sasa 😹😹
Hivi hawajiangalii mara mbili kabla ya kutuma?

Kitumbua cheusi fii hafu kimeungua 😹
Watatupofua macho kuna siku tuamke vipofu..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kipili pili sitasahau mie, watu hawa shave na kuchana hawatakii.
Alooooooh!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kimeungua na mafuta ya ndomu au? Uduguu sitakiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila mie ntakufa niko hoii.
Kuna Gentle huku namchezesha kidamalii, nikamchora atume ududu, si katuma kwelii, aloooh
Au baasi, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naangaliaa, alivyo na alichojaliwa tofautiii.
Nitumie na mi nione 😹
Katuma limesimama au limelala? 😹
 
Coca mrudishie miamala yake gwapole 😹😹😹

Umekula pesa hata kusema sis basi vocha la ten hilo. Umeniachia usumbufu mimi huku..!! 😹😹
gwapole eti shemejiii, si utatuma tena ingine tugawane na uduguu mwenyewee

Nikupe halafu karakana ya chang'ombe tutakua wotee kuteseka? Vipi Katavi utakuja kuniokoa nisiliwe na fisi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kipili pili sitasahau mie, watu hawa shave na kuchana hawatakii.
Alooooooh!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kimeungua na mafuta ya ndomu au? Uduguu sitakiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kimeungua na katerelo 😹😹😹
 
gwapole eti shemejiii, si utatuma tena ingine tugawane na uduguu mwenyewee

Nikupe halafu karakana ya chang'ombe tutakua wotee kuteseka? Vipi Katavi utakuja kuniokoa nisiliwe na fisi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee.
😹😹😹 Nitasaidia kupaza sauti uachiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…