Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Namimi nionyeshe u-gentlemen😀😀😀
20260521_101158.jpg
20260521_101158.jpg
 
Talaka 3 rudi ulikotoka tusijuane chino 😹😹😹
Kifo tu ndo kitatungenesha!!

Si unajjua mvua izo sisi watoto wa kulima! Nilikua sehemu mmoja inaitwa nyida.

Narudi nikakutana na kivumbi tu hahaha.

I miss you bila wewe chino si lolote

Kama nilikuhisi hivi si unajua mtu chake kumbe nilikua sahihi
 
Bana weeh kwenye uzi wa velvet boss kajua kuyatupa maneno mpaka NIMEOGOPA 🙆‍♀️

Anarequest milupo km bolt 😹😹😹
Tena anapiga 3some nyieee..!!

Ule uzi unachekesha!!
Kuna watu hawana uoga kabisaa..!!

Kuna mmoja katoa ushuhuda kuna club ipo Mafinga ili upate access ya kuingia kwanza umle demu hadharani ili ukate wenge usione aibu yanayoendelea ndani..!!

Na huko ndani ukichaguliwa umwage show hakuna kukataaa..!! 😥😹😹😹
Hivi ambiance siku hizi ndo inaitwa valvet kumbe
 
Back
Top Bottom