Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
🤣🤣poleeee na hongera haya njoo nataka kupita maana nishashiba pilau la Eid sina cha kufanya
Asante
Pitaa basi
🤣🤣poleeee na hongera haya njoo nataka kupita maana nishashiba pilau la Eid sina cha kufanya
na wew kwa kuchelewa haujambo🤨🤣🤣
Asante
Pitaa basi
Nimebahatisha ki-chiffon cha buku 5 naruhusiwa kupita?🤣poleeee na hongera haya njoo nataka kupita maana nishashiba pilau la Eid sina cha kufanya
pita mahiiiiNimebahatisha ki-chiffoncha buku 5 naruhusiwa kupita?🤣
Hulali kabisa leo sio?🌚pita mahiiii
mi huwa nalala kesho kila siku yani😅Hulali kabisa leo sio?🌚
Dahh kweli binti umeamua, haya tusitrendishe uzi mida ya wachawi hii😁mi huwa nalala kesho kila siku yani😅
wow jamn ujue wew ni mdhuri sasa sisy🥰,,, sijui nije lini kukuibia hiyo shofoni😂Dahh kweli binti umeamua, haya tusitrendishe uzi mida ya wachawi hii😁View attachment 3596158
Uweeeh kibode changu kipya nimeongeza buku bee kabisa, ukiibe wakati ndio mtoko naringishia waja sasa hivi😆wow jamn ujue wew ni mdhuri sasa sisy🥰,,, sijui nije lini kukuibia hiyo shofoni😂
Wewe huyoo!?Haya fumba macho,Zina data , napita na kanzu yangu,msije pofuka macho
Hahahaha, sio vzr ujue ulichofanyaTresor Mandala katika ubiora wako leo nimekukomesha hujaambulia kitu😜
Fumba machoWewe huyoo!?
Hii Sasa ndio mizigo yangu halisi
Ntakudaka tu unajifanya mjanja sioDahh kweli binti umeamua, haya tusitrendishe uzi mida ya wachawi hii😁
na mimi nakitaka😂😂Uweeeh kibode changu kipya nimeongeza buku bee kabisa, ukiibe wakati ndio mtoko naringishia waja sasa hivi😆