mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,367
- 75,697
ephen_ watu wanakuogopa😆Kukata mzizi wa fitna ni kuweka Black & white tu😅
ephen_ watu wanakuogopa😆Kukata mzizi wa fitna ni kuweka Black & white tu😅
Mimi saa ndio ulevi wangu😅 njoo uchukue moja 😊
Mbona hiyo imekupendeza sanaAisee mkono wangu sipendezi nilivaa saa😁
HujamboUnapenda kujifanya wa kuja mfyuuu!!
Kwamba huijui au? 😹
Hahaha saa haichagui mkono smart watch inakufaa zaidiView attachment 3596519aaah naona mkono chembamba😁
Unazingua mwananguWeupe wa min me unachekesha bhana! Kubwa zaidi vilips vyake eti vya pink
Nisamehe kwa kusema ukweliUnazingua mwanangu
yani dokta ukiweka tu yako napta uchi😎Weka picha ntakusemea kwa binti wa zamanii ☺️
naona unapita kimya kimya tajiri min me naomba namimi nione huto tulips bwasheeUnazingua mwanangu

Hii nzuri pia , sh ngap hii😊View attachment 3596526niliomba hii,niliambiwa nitachekesha😁, au ndio kunyimwa🙌
Acha zako na wewenaona unapita kimya kimya tajiri min me naomba namimi nione huto tulips bwashaa![]()
Yameisha we naeKusema ukweli🚮
View attachment 3596531
Sijui hata bei Tz ni kiasi gani.Hii nzuri pia , sh ngap hii😊
Saa ni nzuri sana , hiyo ni kali .Sijui hata bei Tz ni kiasi gani.
Mkuu tafadhali kwa heshima na taadhima tunakuomba urushe picha yako hapa.Yameisha we nae
Nirushe ataidaka nani?Mkuu tafadhali kwa heshima na taadhima tunakuomba urushe picha yako hapa.