Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,046
- 33,723
Aah ladies firsthebu nibariki kwanza maana baraka zangu tayali unazo za kushato😇
Aah ladies firsthebu nibariki kwanza maana baraka zangu tayali unazo za kushato😇
Utajiju. Utoto mwisho tiktok, JF wote wazee.yani haka katoto uwih kamenishinda,, kanapenda sana mambo ya kupiga chabo
aii naijua hiyo kijana🙂Aah ladies first
umenambia mimi nitajiju?😅😅Utajiju. Utoto mwisho tiktok, JF wote wazee.
Nishawai kukudanganya huku selfika??😃😃😃aii naijua hiyo kijana🙂
huku bado,, eh kwani kule kwingine huwa unanipanga 🤔 nianze kukuogopa 😄😄Nishawai kukudanganya huku selfika??😃😃😃
Wewe wasema😃😃huku bado,, eh kwani kule kwingine huwa unanipanga 🤔 nianze kukuogopa 😄😄
bado upo?Wewe wasema😃😃
Nipo😃bado upo?
haya nilitaka kujua tu sina jipya😂Nipo😃
Umejuaje kama napita kimya kimya 🤣mshamba_hachekwi Seran ShesRise_1 saivi mmejikaliza kimya ila mtu akitupia ka picha ndo mnaibuka,, nimewastukia wanetu😄
furaha yenu ni kuwazooom wenzio si ndio eeh waoneni na tu komwe twenu😂Umejuaje kama napita kimya kimya 🤣
Nikaona nikiweka like nitashtukiwa 🏃♀️🏃♀️
Umeamua unidhalilishe na komwe langu🤣 juzi sijui jana ulipita naked but I'm confused 😕furaha yenu ni kuwazooom wenzio si ndio eeh waoneni na tu komwe twenu😂
Unamjua mwenye hiyo kazi yake nani humu!mshamba_hachekwi Seran ShesRise_1 saivi mmejikaliza kimya ila mtu akitupia ka picha ndo mnaibuka,, nimewastukia wanetu😄
kheeee kumbe ulikuepo kuanzia juzi🤔, watu wabaya nyie🤦♀️😄Umeamua unidhalilishe na komwe langu🤣 juzi sijui jana ulipita naked but I'm confused 😕
kazi ipi tenaUnamjua mwenye hiyo kazi yake nani humu!
Hakunaa ushindweeekheeee kumbe ulikuepo kuanzia juzi🤔, watu wabaya nyie🤦♀️😄
Ya kujibanza kuangalia tunaojianika?kazi ipi tena
aaah nimeelewa, yupo yeye na ndugu yake Tresor Mandala hivi ile siku alipita usiku kweli?Ya kujibanza kuangalia tunaojianika?