Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,586
- 83,134
Nitembee uchi sio..Njoo kwanza ukifika ndipo nitakununulia...
Nitembee uchi sio..Njoo kwanza ukifika ndipo nitakununulia...
Lahaula!
Huchezi mbali kijana!😅Lahaula!
yani haka katoto uwih kamenishinda,, kanapenda sana mambo ya kupiga chaboHuchezi mbali kijana!😅
Namba ya tone tone ndio nini tena?😁Mwenye namba ya tone tone ya chadema anipe niweke chochote kitu leo...😃😃
Heheheh 🏃♀️🏃♀️🏃♀️Namba ya tone tone ndio nini tena?😁
Vidole juu kama Chadema nikakumbuka kuchangia tone tone ya chadema😃😃😃Namba ya tone tone ndio nini tena?😁
Halafu kagumu kupita kama kaha!🙌🏾yani haka katoto uwih kamenishinda,, kanapenda sana mambo ya kupiga chabo
Hebu changia chochote mwana ✌🏽Vidole juu kama Chadema nikakumbuka kuchangia tone tone ya chadema😃😃😃
sijajaza watu ila nimesema ukweli, chukua maua yako sisy 💐Woii🤣 acha kujaza watu ujinga wewe uhot uko wapi sasa hapo?😃
huyu😅😅😅Vidole juu kama Chadema nikakumbuka kuchangia tone tone ya chadema😃😃😃
yaaan, sijui ka wapi haka 🤦♀️😅Halafu kagumu kupita kama kaha!🙌🏾
Thanks baby❣️sijajaza watu ila nimesema ukweli, chukua maua yako sisy 💐
Nibariki nikubariki😃huyu😅😅😅
hebu nibariki kwanza maana baraka zangu tayali unazo za kushato😇Nibariki nikubariki😃