Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,290
- 108,310
Hahaha...leo umewasifia Wanyaki....kuna mtu kakuandikia...
Nakuja huko huko ati umeenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuja huko huko ati umeenda
Wanyakyusa ni waongeaji sana na wakarimu. Its fun being with them, sijawahi ona mnyakyusa kapooza pooza kama msukuma.
Watu8 akija mwambie nimekwenda kutafuta pension maana yeye kashindwa kazi.
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app



