Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,205
- 829,187
- Thread starter
- #41,261
Shetani akizeeka anakuwa malaika
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu umri wa mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80 (pengine ni 700-800) baada ya hapo unaishi miaka ya ubatili Ukipewa hii Neema ya kuishi miaka hiyo, nguvu zinapokuishia mwilini na kuanza kukikaribia kifo hata mindset yako hubadilika... Hasa...
Sent using Jamii Forums mobile app


