win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,809
- 29,879
hauwezi ukaambiwa vyote kijana, vingine ujiongeze😄Wangesema anakuja hana kitu sasa😃😃😃
hauwezi ukaambiwa vyote kijana, vingine ujiongeze😄Wangesema anakuja hana kitu sasa😃😃😃
Aah wap😃😃😃nyie ndo couple yangu pendwa mnajua hilo mnaniinspire SanaTupetiane humu ili muone wivu
Muanze figisu zenu
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣matunzo muhimupo serious ma mchu...? 😄 au unataka kumrusha roho ba tam wako R?
kwan eddy haujawahi kunibahatisha? mbona natupiaga mafoto humu karibu kila siku jamni😄Nimekubali under 2 condition 🙌🏾😂
1. Selfika humu nikuone😂🙌🏾 au dm
2. Inabidi tuonane😂🙌🏾
Ili wanangu wafungue lipa nyingine ya Ttcl kwa ajili ya akiba Yako😂😂
Sijawahi kabisa.kwan eddy haujawahi kunibahatisha? mbona natupiaga mafoto humu karibu kila siku jamni😄
Woyoooo 😃wakamharibie kijana sasa Uvulana wake😃😃😃
kwa kweli, naomba niwe mshika fedha wako, nitapokea kote kote kwa Tr na R pia👌👌👌🤣🤣🤣matunzo muhim
Uliletewa kiko last week ko ko ko
Ukitaka awe mbaba anakua ukitaka awe kibenteni anakua ni wewe tuu na mahitaji yako vyote anaweza kwa ajili yako😃😃Kumbe ni mbaba🤣🤣🏃🏃
nakazia jamni duhSs mselfike tumechart sn😎😎😎
Utatusaidia kulea mkuu au nimeelewa vibayaWakishindwa nipo hapa,ninaye hitaji
Huu uzi nitakua siji mnanikuza mno wakati umri wangu bado😃😃😄😄😄 huyo kasema bado mdogo hataki mambo ya wakubwa
Wiki zima penati za konami sipiga maana nitakosa😂🙌🏾Woyoooo 😃wakamharibie kijana sasa Uvulana wake😃😃😃
Huyu madako yupo wap kwnza yan tunapambania penzi lake hakuna hata posho😃😃
Kiko nililetewa, hapa kuomba kiko tena hadi ipite miezi 6 😜Uliletewa kiko last week ko ko ko
duh ngoja niende kwenye ofis ya mwalm mkuu nikajiselfie nitupie, hapa nje nitawaonea hawa watoto aibu😄😄😄Sijawahi kabisa.
Tutakula savings 😂😂🙌🏾Huyu madako yupo wap kwnza yan tunapambania penzi lake hakuna hata posho😃😃
Kijana upendwe bure na masharti uweke 😃😃Nimekubali under 2 condition 🙌🏾😂
1. Selfika humu nikuone😂🙌🏾 au dm
2. Inabidi tuonane😂🙌🏾
Ili wanangu wafungue lipa nyingine ya Ttcl kwa ajili ya akiba Yako😂😂