Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 4,846
- 12,731
Mida gani nisije nikakosa😂duh ngoja niende kwenye ofis ya mwalm mkuu nikajiselfie nitupie, hapa nje nitawaonea hawa watoto aibu😄😄😄
Mida gani nisije nikakosa😂duh ngoja niende kwenye ofis ya mwalm mkuu nikajiselfie nitupie, hapa nje nitawaonea hawa watoto aibu😄😄😄
njoo tu uwe unajifunza funza ili mda ukifika usione kama kuna cha ajabuHuu uzi nitakua siji mnanikuza mno wakati umri wangu bado😃😃
Aah nikijiongeza mnasema nimekua toto tunduhauwezi ukaambiwa vyote kijana, vingine ujiongeze😄
saivi tu usicheze mbali😄👌Mida gani nisije nikakosa😂
Gari la mkoloni likipanda mlima mala moja halipandi tena mpaka ipite miezi 6 hii ni maajabu 😅Kiko nililetewa, hapa kuomba kiko tena hadi ipite miezi 6 😜
we unajiongeza mpaka unapitiliza😄Aah nikijiongeza mnasema nimekua toto tundu
Nimemliza kunywa uji ngoja nije sasaSs mselfike tumechart sn😎😎😎
😂🙌🏾We jauKijana upendwe bure na masharti uweke 😃😃
🤣🤣🤣🤣Huyu madako yupo wap kwnza yan tunapambania penzi lake hakuna hata posho😃😃
Ewaa ebu nisuuze macho kabisasaivi tu usicheze mbali😄👌

Kwa kweli mnionee huruma tu babu yenu, sina jambo kabisa now 😁Gari la mkoloni likipanda mlima mala moja halipandi tena mpaka ipite miezi 6 hii ni maajabu 😅
Hilo gari ni la m jerumani au muingereza?
Nikianza mapema nitakinai😃njoo tu uwe unajifunza funza ili mda ukifika usione kama kuna cha ajabu
🤣🤣🤣🤣Ukitaka awe mbaba anakua ukitaka awe kibenteni anakua ni wewe tuu na mahitaji yako vyote anaweza kwa ajili yako😃😃
We mwema 😃😃😂🙌🏾We jau
A man will always a man✊🏾
Mkuu nataka kujua umri wako unajishusha sana kaka mkubwa.njoo tu uwe unajifunza funza ili mda ukifika usione kama kuna cha ajabu
kaone😄😄😄Ewaa ebu nisuuze macho kabisa![]()
Babu ukiwa kama huyu babu mwenzio hakuna shida kabisa tutakurumia kwa wivu mkubwa☺️Kwa kweli mnionee huruma tu babu yenu, sina jambo kabisa now 😁
Gari ni la mjerumani, kitu cha mwaka 47
Ukimaliza kuselfika nistue nipiteCastle_Lite uwe unapita na huku ujionee kwa macho sitaki uanze kunisumbua na maswali yako ya "nikweli unafanana na remi ongala" am tired😄😄😄😄😄
😃😃😃Me mdg kakaMkuu nataka kujua umri wako unajishusha sana kaka mkubwa.
😂