Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Razorblade
Kwahiyo ndo nimzalie huyu???kuniacha hawezi labda mi niamue🤣🤣
Ngoja kamati ikae
Selikavu na Edo kissy
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ™ŒšŸ¾
Kwani mwanetu unamchukuliaje au Kuna sehemu anafeli hutaki kusema.
Kuachana tunajua hamuwezi.
Ebu tukaze mtuletee ankolišŸ˜‚šŸƒšŸ¾šŸ¤£
 
Unajuq maziwa sh ngapi sahivi??
🤣🤣elf 80 kopo ...na halimalizi wiki
Kufungua kadi tu 50k🤣
Bado mambo mengine ...šŸƒšŸƒšŸƒ
Famchezo nn

Labda ndugu yake aliyempambamia atuambie Selikavu
Eti mtaweza ??mna hela??🤣🤣
nimechekaaa,, sasa huko mbali kuna hizi supplement za kutumia before conceiving, during pregnancy and breastfeeding zinauzwa elf 40šŸ˜„šŸ˜„,, bado dawa za kuzuia morning sickness alooooo si mchezo
 

Attachments

  • 20260514_113508.jpg
    20260514_113508.jpg
    437 KB · Views: 7
Back
Top Bottom