win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,944
- 30,517
elewa neno mshangazi kijana😄Mkuu nataka kujua umri wako unajishusha sana kaka mkubwa.
😂
elewa neno mshangazi kijana😄Mkuu nataka kujua umri wako unajishusha sana kaka mkubwa.
😂
Nanoa makaliTulia🤪🤪
Mwenye kisu kikali ndo anaekula nyama😎
Siti ya mbele ukutani baada ya selikavu😎🤏🏾kaone😄😄😄
kwendraaa we ni kaongo kaongo tu😄Ukimaliza kuselfika nistue nipite
Umri wa selikavu 😂elewa neno mshangazi kijana😄
Siti ya mbele ya nini mkuu wakati baadae mtakua na Pillow talk😃😃Siti ya mbele ukutani baada ya selikavu😎🤏🏾
Alikua anamaanisha mimielewa neno mshangazi kijana😄
Na uti sugu haijapona vizuri😎🤏🏾😂Babu ukiwa kama huyu babu mwenzio hakuna shida kabisa tutakurumia kwa wivu mkubwa☺️
hiyo mama angu" mbona ime sound kimahaba hivyo, hauogopi radhi😄😄😄Umri wa selikavu 😂
Naanzaje kukuuliza wewe mama angu😎🤏🏾
Dah😃not this timekwendraaa we ni kaongo kaongo tu😄
Kulewa na mahitaji yote muhimuUtatusaidia kulea mkuu au nimeelewa vibaya
Shikamooo kwanza sijakusalimu kumbe😃😃
nikuokotee mawe? 😄😄
Ashazama anaona reply zote zake😂🏃🏾Alikua anamaanisha mimi
oooh sikujua jamni 😄Alikua anamaanisha mimi
Nikuogope tena🤭hiyo mama angu" mbona ime sound kimahaba hivyo, hauogopi radhi😄😄😄
Radhi ndo nini niliwai sikia kwa majirani wanaimwaga😃😃😃hiyo mama angu" mbona ime sound kimahaba hivyo, hauogopi radhi😄😄😄
Ma babu hawanaga U T I huo ni ugonjwa wa vijana 😎Na uti sugu haijapona vizuri😎🤏🏾😂
🏃🏃🏃🏃😎😎nikuokotee mawe? 😄😄
Aah sawaa sawaa mkuuKulewa na mahitaji yote muhimu
Marhabaa