win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,846
- 30,009
si ndio kwani anashida gani? au bahili unahofia kufunga mtoto na matambara😄😄
si ndio kwani anashida gani? au bahili unahofia kufunga mtoto na matambara😄😄
Nipe lipa namba yako ya TTCL umeongea point sanafanya kweli niitwe aunt👌💃
wa kwanza wew,, unafakamia chakula cha mtoto mpka basi😄Namaanisha watu wanaiba adi mali za watoto 😃😃😃
Upewe mubaba tena???Na baba unanipa au???🤣🤣
muone umeona ttcl inapatikana kwa wachache ndo umeanza kujimaliza ukijua sitoipata mfyuiuu🤨😁Nipe lipa namba yako ya TTCL umeongea point sana
Hili penzi migogoro kila siku kama Iran na Marekani😃😃😃kwani yule R walokua wanamsemea eddy na selikavu kakuacha?
Unajuq maziwa sh ngapi sahivi??si ndio kwani anashida gani? au bahili unahofia kufunga mtoto na matambara😄😄
si mnasemaga wanao gombana sikuzote ndo wanao pendana🤣🤣 au mshahama hukoHili penzi migogoro kila siku kama Iran na Marekani😃😃😃
Me sio Toto tundu😃😃😃khaaaaa ndo nimekuelewa saivi mtoto mtukutu😄😄😄
Si anatqka aitwe antii🤣🤣Upewe mubaba tena???View attachment 3588544
Si ndo zenuNamaanisha watu wanaiba adi mali za watoto 😃😃😃
Hili penzi wallah mtakuja kunilipa😃😃😃Razorblade
Kwahiyo ndo nimzalie huyu???kuniacha hawezi labda mi niamue🤣🤣
Ngoja kamati ikae
Selikavu na Edo kissy
🤣🤣🤣🤣Hili penzi wallah mtakuja kunilipa😃😃😃
Au mtoto wenu mmoja ataitwa Selikavu 🤣🤣View attachment 3588548
Of course they should beOur shoes should be matching 😎View attachment 3587633
Unaweza itikia hata wewe nyinyi si mwili mmoja🤣
Its okay, Hi Intelli 😅Sorry for being late, bado uko?
😃😃😃Me napewa changu siibi cha watoto niliambiwa ni dhambiwa kwanza wew,, unafakamia chakula cha mtoto mpka basi😄
Kuweni na imani na Wazee 😜mzee kijana kwenye moyaa na limbi 🙂
😃😃😃Huku nilipo TTCL tuu ndo inashikamuone umeona ttcl inapatikana kwa wachache ndo umeanza kujimaliza ukijua sitoipata mfyuiuu🤨😁