Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 4,491
- 11,646
Mbona tunaweza kuwa sawa mkuu😂Sasa kama wewe una itwa chalii, si wengine si tuta ambiwa ni vitukuu!
Au umenizidi.
Mbona tunaweza kuwa sawa mkuu😂Sasa kama wewe una itwa chalii, si wengine si tuta ambiwa ni vitukuu!
HahhahahaSasa kama wewe una itwa chalii, si wengine si tuta ambiwa ni vitukuu!
Mie ukifoka nakaa kimya ,maana naishi na madogo wengi tu ,wanakula kupitia mm ,so nikiona umefoka humu nafananisha na madogo wangu wakitaa😂😂
Na huwezi fanya comeback
Mi sijawahi foka humu.
Huna mambo mengi.Mie ukifoka nakaa kimya ,maana naishi na madogo wengi tu ,wanakula kupitia mm ,so nikiona umefoka humu nafananisha na madogo wangu wakitaa
HahahahaHuna mambo mengi.
Umenyooka😂🙌🏾
Hahahah anafoka humu ila anakutana na wewe live anakua mpole tu😅Mie ukifoka nakaa kimya ,maana naishi na madogo wengi tu ,wanakula kupitia mm ,so nikiona umefoka humu nafananisha na madogo wangu wakitaa
Nakukuomba samahani juuHahahah anafoka humu ila anakutana na wewe live anakua mpole tu😅
Binafsi umenizidi Shikamooo Braza kaka 🤣Mbona tunaweza kuwa sawa mkuu😂
Au umenizidi.
Tunakusubiri🤣🤣Ndio najiandaa, Mtumishi
tokaaaa ka eddy bado kadogo sidhani kama kameanza hata kunanilii😄😄😄Binafsi umenizidi Shikamooo Braza kaka 🤣
Hahahaha,naambiwa flash mbovuTunakusubiri🤣🤣
Hahahahatokaaaa ka eddy bado kadogo sidhani kama kameanza hata kunanilii😄😄😄
🤪🤣🤣🤣🤣Hahahaha,naambiwa flash mbovu
Hahahaha 😂 😂🤪🤣🤣🤣🤣
Pita tukuone binti😅🤪🤣🤣🤣🤣
Kunanii😃😃tokaaaa ka eddy bado kadogo sidhani kama kameanza hata kunanilii😄😄😄
hebu tuone kama ni mdogo kweli💃 tusiandikie mate😄
Ngoja nika tafute ndevu na kipara cha bandia kwanzaMbona tunaweza kuwa sawa mkuu😂
Au umenizidi.