Wachaa wee!! Basi sawaa.Kwa nn? Sem nafkiria kurudi dar soon mana nahitaj chamgamoto mpya za maisha
Fala 😂Msalimie mej😂
Maana naona nimekuwa Mshangazi ghafla 😤😆Kuzaa sio kuzeeka wii
Vipi umeongeza mwingine?
Morning team Popo, muda huo naota ndoto ya 4 😅😅😀. This week Aaaargh tukutane weekend tu….. 🚶♀️nalog outnoma na nusu, mi naangalia korean series si unajua u popo!
ep 1-2 kisha nazima data nilale
Wee don't even dare, mida ya mapopo 😂Morning team Popo, muda huo naota ndoto ya 4 😅😅😀. This week Aaaargh tukutane weekend tu….. 🚶♀️nalog out
😹😹😹 Nipo nasinzia hapa dukani km teja.Kabisaa zije kwa flight, [emoji23][emoji23][emoji23]
Wafiwa na waombolezaji wasikose sare,
😹😹😹Si atakua ashatimiza lengo la kuniteka mie, [emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna nimepumzika, em selfika dogo langu na ulivyo hb sasa 🥰Dada kule umekuka ban tena..? Hahah
😹😹😹 Fanya mazoezi huo ushangazi ushindwe..!!Maana naona nimekuwa Mshangazi ghafla 😤😆
Fanya jambo Wii nimekumiss kukuona si unajua kitambo 😻My wii 😆😆😆
[emoji23][emoji23][emoji23] tag locs nije kukusaidia kuuza vijora uduguu,[emoji81][emoji81][emoji81] Nipo nasinzia hapa dukani km teja.
Hii tabia ya upopo JF niliacha kitambo naona inaanza kurudi..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81]
😹😹😹 Mtaa wa Kongo nimemwaga chini na speaker ya kuitia wateja inaunguruma..!![emoji23][emoji23][emoji23] tag locs nije kukusaidia kuuza vijora uduguu,
Bado husahau? 😹😹
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani hamjamalizana wee na huyo mwenzio? Kwani mmekwazana wapiii? Unajua mie sielewiii? Shengesha ya Depal na Fake P, Sasa nyie tena yanakujajeee??[emoji81][emoji81][emoji81] Mtaa wa Kongo nimemwaga chini na speaker ya kuitia wateja inaunguruma..!!
Naweka na taarabu kidogo huku tunacheza [emoji81][emoji81][emoji81]
Niliona sehemu lile chizi la mwadui linasema nateseka juani kuuza vijora angejua angetuliza kalio akatafute blauzi ya kueleweka minadani kwao huko wanakouziwa mang’ombe na nguo kwa pamoja..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu huyu asinitanie, pumbaaavu zakee.Bado husahau? [emoji81][emoji81]
Mwenzio jana kaamua kuchangamsha kijiwe.
Pesa mchezo [emoji81][emoji81]
Yani km nakuona ulivyoandaa mate ya kuhesabia..!!
Kudandia treni kwa mbele 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] kwani hamjamalizana wee na huyo mwenzio? Kwani mmekwazana wapiii? Unajua mie sielewiii? Shengesha ya Depal na Fake P, Sasa nyie tena yanakujajeee??
Nakujaa uduguu nijichagulie na vijora vya kushindia home. [emoji23][emoji23][emoji23]
Utasubiri sana 😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu huyu asinitanie, pumbaaavu zakee.
Afanye kutuma muamalaa. Khaaah
Sitaki utani mie.