Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,810
- 40,567
No nina 22,, wakati JF inaanzishwa ulikuwa ndiyo mwaka ninaoelekea kutimiza 9.. umeacha utani wa nini??
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Hii mbona kama train station??
Mama yake kajitahidi sana kumlea yule mtoto. Mungu azidi kumkuza vyema.Awww,, she must be very lucky..
Ndio.Lakini hebu tuongee ukweli,, hivi mtu wa miaka 22 ni mtoto kweli??
Hahaha typing error mkuu.Kumbe Nyerere alifariki 1991!!!
Niliona nikasema tu hiiiiii. Nashangaa hawa watoto hawatuamkiiCc Heaven Sent kwa taarifa.
Yaani hivi vitoto[emoji134]Niliona nikasema tu hiiiiii. Nashangaa hawa watoto hawatuamkii
Naomba uweke takwimu ya 1985 wakati Mwalimu Nyerere anang'tuka.Na nyinyi ndo mpo wengi
71% ya watanzania hawakuwa wamezaliwa kipindi mwinyi anamaliza muda wake wa Uraisi mwaka 1995.
65% ya watanzania waliopo Leo hawakuwepo pindi baba wa taifa mwalimu nyerere anafariki 1999
41% ya watanzania waliopo Leo hawakuwepo kipindi mkapa anamaliza muda wake wa uraisi 2005
Kwann mkuu[emoji38][emoji38]
Kumbe Nyerere alifariki 1991!!!
Naomba uanze kunipa heshima yangu
Shee mkeo yuko wapi?Umebadili ID shee?
Mama yake kajitahidi sana kumlea yule mtoto. Mungu azidi kumkuza vyema.
Ndio.
Niliona nikasema tu hiiiiii. Nashangaa hawa watoto hawatuamkii
Yaani hivi vitoto[emoji134]
Marahaba, hujamboLooh Shikamoo
Marahaba, hujambo