Ni jina la mwanafunzi wangu kipenzi. She is very bright and very humble. Nilipoona mnaniona mtoto kwasababu ya jina nikaamua kubadili na jina lake ndilo likanijia akilini.Lol halafu hilo jina umenikumbusha shule niliyosoma form 1 & 2 mwalimu wetu wa kiswahili alikuwa anaitwa Madam Yaeli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1288285
Mwanaume anaweza kuwa na mtoto akiwa na 12+
Sio dharau, mwanangu. Huo ndio ukweli, kuna gap kubwa tu kama kweli upo 21-22yo. Huyo ni mwalimu wako.
Sijadharau mahali, sikuwa najua kuna vijana wana 18-22yo humu. Sasa naelewa.
Asante kwa historia fupi.Daah hizi dharau sasa,, mie nina sura ya kiutu uzima eti..
Kwa mara ya kwanza nilipewa simu mwaka 2014 mwanzoni kipindi cha likizo ya kumaliza form 4 tena ni baada ya matokeo kutoka,, ila JF nimeijua muda sema basi tu..
Ni jina la mwanafunzi wangu kipenzi. She is very bright and very humble. Nilipoona mnaniona mtoto kwasababu ya jina nikaamua kubadili na jina lake ndilo likanijia akilini.
Asante kwa historia fupi.
Wasikuchanganye[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Wasikuchanganye
We mkubwa sana.
Kijijini apo ungekuwa na watoto wa 4.
na kengine tumboni kakiwa na miezi kadhaa.
Asante Sana marcy
Itakua mimi ndio nimemuhonga sasa[emoji2][emoji2]Nipe hivyo bwana, tena ni size yake kabisa.
Kwann mkuu[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kuna id nyingine nikizionaga tu huwa nacheka,, watu sijui mnawazaga nini..
Na nyinyi ndo mpo wengiUmeona eenh,, na ndicho nilichokuwa nawaambia jana..
Hapana, wewe unakuwa umenipa mimi[emoji1787]Itakua mimi ndio nimemuhonga sasa[emoji2][emoji2]
Kumbe Nyerere alifariki 1991!!!Na nyinyi ndo mpo wengi
71% ya watanzania hawakuwa wamezaliwa kipindi mwinyi anamaliza muda wake wa Uraisi mwaka 1995.
65% ya watanzania waliopo Leo hawakuwepo pindi baba wa taifa mwalimu nyerere anafariki 1991.
41% ya watanzania waliopo Leo hawakuwepo kipindi mkapa anamaliza muda wake wa uraisi 2005
Shee umeanza lini kukimbia majukumu?