Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,356
- 9,434
Rudia nikuone basiDo the needful.
Rudia nikuone basiDo the needful.
Ushapitwaa hapa hapa, lol [emoji23][emoji23][emoji23]Sawa [emoji2210][emoji23][emoji23][emoji23]
Umepitwaaa tenaaa?? Woiiiih.Rudia nikuone basi
[emoji23][emoji23][emoji23] watu hamlalii? Mie napita naked najua niko pekee angu kumbe mko shazzzz??Cocastic all the time nilikua najua ww ni wa kiume. Aisee
Eti bro, akati hata kovu huna 😂😅[emoji23][emoji23][emoji23] watu hamlalii? Mie napita naked najua niko pekee angu kumbe mko shazzzz??
Sasa kumbe ni nanii? Mie ni Brooh etii,
Nipo tupia moja chapUpooo??
Kweli sikupambi bhana, weka mikato ya mambele..!!Usinipambe,
Wa mbele nitakua mie, mkawii kunishushua.. uzi mweupe
Siku ile bhana na reply comment yako njoo pm nikupe ubuyu si mods wakaufunga uzi lol! 😹😹😹Kuna comment imenifurahisha mkuu
Njoo uibless Blue Monday yangu hapa.. 😹😀😅 usiwaamini sana watu ni waongo nipo kawaida tu
Uduguu hii naomba irudiwe sikuwepo pulizzz naitaka hiyo naked, rangi safi ya mtume..!! 😍😍[emoji23][emoji23][emoji23] watu hamlalii? Mie napita naked najua niko pekee angu kumbe mko shazzzz??
Sasa kumbe ni nanii? Mie ni Brooh etii,
Na wewe utupie sasa..Nipo tupia moja chap
Walijua kanyata km wao!Eti bro, akati hata kovu huna 😂😅
[emoji23][emoji23][emoji23] kakudanganya nanii? Ogopa matapeliii. LolEti bro, akati hata kovu huna [emoji23][emoji28]
Nipoo sanaa.Nipo tupia moja chap
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu umeanza fujo asubuhii etiii?Walijua kanyata km wao!
Ila wachawi wa JF [emoji81][emoji81][emoji81]
Kawaziba midomo
Wee nae ulikua wapiii? Au viwanjaaa kuburudika na lives band?Uduguu hii naomba irudiwe sikuwepo pulizzz naitaka hiyo naked, rangi safi ya mtume..!! [emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku ile bhana na reply comment yako njoo pm nikupe ubuyu si mods wakaufunga uzi lol! [emoji81][emoji81][emoji81]
Nakuambiaaa kuishi NYC tayarii yuko mbele ya muda haswaaa.Kweli sikupambi bhana, weka mikato ya mambele..!!
Unavaa Jordan OG tunaanzaje kukushushua?
Kuishi NYC peke yake tayari wewe umetushushua sisi..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
😹😹😹 Chai nainywea hapa leo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu umeanza fujo asubuhii etiii?