Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
Kabesaaaaaa udugu wewe 🔥🔥🔥[emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, ya kweli haya lakiniii??
Mzuri bana weeh ndiomana tajiri wa JF alikuweka public
Kabesaaaaaa udugu wewe 🔥🔥🔥[emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, ya kweli haya lakiniii??
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu hatariiii, woiiiih.Kabesaaaaaa udugu wewe [emoji91][emoji91][emoji91]
Mzuri bana weeh ndiomana tajiri wa JF alikuweka public
Basi unajitunza mwaya,.Naichungulia floor ya 3 mahii, wala sio utani, ni kugusa tu 30 hii hapa.
Midomo, rangi, sura, aiseeee 🤔 amazing 😍[emoji23][emoji23][emoji23]
🔥🔥🔥Na hatotokea 🔥🔥🔥
Boss kwa hiyo rangi na huo urembo anaachaje kukuweka public?[emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu hatariiii, woiiiih.
UongoNime selfika tayar nimefuta
Ahsanteee!! [emoji120][emoji120]Basi unajitunza mwaya,.
Hongeraa
Umeanzaaa Dr, Awwww!! [emoji23][emoji23][emoji23]Midomo, rangi, sura, aiseeee [emoji848] amazing [emoji7]
Nimeangalia tenaa
Woyoooooooh!!!! [emoji91][emoji91][emoji91]Boss kwa hiyo rangi na huo urembo anaachaje kukuweka public?
Kweli we ndo main chick wa tajiriiiii la JF
Huboi wala hupoi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji3059][emoji3059]
Oyooooooo hebu tuongee kitu😅😅Muda huu nipo hapa dar live humu ndani nataka nile mbuzii then ntaenda chamazi then nirudii maskani kigamboni.
Nimeanza kunywa tayar hapaa
Niko madaba nalima Tangawizi mlongo wanguWapi mlongo unalima? Kwetu kule kule au??
😅😅😅Hatujakutambua kwa matendo yakoNa mimi nimeokoka sasa hivi 😹
Oooh TM mwenye Aorta yangu!sijambo...uko wapi nije kunywa serengeti apple?Nakusilimia
😀😅 usiwaamini sana watu ni waongo nipo kawaida tuYani chica sijawahi kukuona em weka bana mbona inaonekana we mrembo darling hata mshamba alikusifia. Ujue humu mimi namuamini sana mshamba akikupitisha ujue wewe kisu kweli..!! 😹😹😹
Nitakuita kwanzaNaweza nisiwepoo sasa, aiiiih.
😅😅et eenh sawaAhh wapi, nilikuwa naota jua tu 😆p
🙌 umeanza kutia chumvi sasaUme nyooka madam, ka ni kitabu hiki ni top quality kwenye top shelf.