Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee nae ulikua wapiii? Au viwanjaaa kuburudika na lives band?
Jana nilipita hapa usiku sanaa, yaan usiku mneneeee. [emoji23][emoji23][emoji23]
Jana kuna issue nilikua naifanya nikapitwa uduguu.. do ze needful 😍

Live bands napenda kwenda Ijumaa na Jumamosi
 
Nakuambiaaa kuishi NYC tayarii yuko mbele ya muda haswaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kashatuchamba kizungu dadeq 😹😹
Uduguu tujipange twende tukacheck World Cup afu tusirudi. Tutaishi kwa Kiranga 🤣
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Chai nainywea hapa leo!
Nimekumbuka mambo ya ajira portal na full details za watu nimecheka sana!!

Hivi inawezekana ukawatafutia watu kazi ikiwa mwenyewe huna? Au ndio style mpya ya kuungwa magroup ya telegram kwa kina Fatuma mautamu?? [emoji81][emoji81]
Wee umeanzaa kulewa asubuhii hii?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Acha watu watafutiwe kazi kwa upendo bhana, huko Telegram kuna ninii jamaniii?

Ila nilicheka shengesha ya Mpare, anakataa afu kulee naona km ina sounds kwelii vilee, aaah [emoji23][emoji23][emoji23]

Mie natafuta kazi ya kwenda mambele kuosha vikongwe na vizee,
Ambition plus naomba msaada wa connection za kuzamia huko plz.
 
Kashatuchamba kizungu dadeq [emoji81][emoji81]
Uduguu tujipange twende tukacheck World Cup afu tusirudi. Tutaishi kwa Kiranga [emoji1787]
Tutakosaje kwa kuishi? Kiranga, Nyani Ngabu, Ambition plus, yaan ni kuhama hama tuu, tunachagua kwa kuishi.

Kiranga anaishi Washington DC, Ambition yuko NYC, Nyani Yuko LA, afu kuna Babuu Shimba yuko California. Nakuambiajee hatukosi Pa kustay.

Sisi ndio sisii. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aje nimpe ubuyu, ujue ukiwa NYC lazima umiss umbea wa bongo..!!
Na sisi wambea tupo kwa kazi hizo uduguu [emoji81][emoji81]
Haswaaaa tuko kwa ajiri ya umbea tuu humuuu, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana kuna issue nilikua naifanya nikapitwa uduguu.. do ze needful [emoji7]

Live bands napenda kwenda Ijumaa na Jumamosi
[emoji23][emoji23][emoji23] issue ganii au kuhadaika na shemelaaa?
Nimechekaa janaa aiiiih.
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Yeye mtetezi wa watu wasio na watetezi..!!

Hata mimi ss hivi namuunga mkono ifike muda kila binadamu awe huru kuishi duniani vile anavyojisikia na mwili wake..!!
Si ndiwooooooo!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee umeanzaa kulewa asubuhii hii?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Acha watu watafutiwe kazi kwa upendo bhana, huko Telegram kuna ninii jamaniii?

Ila nilicheka shengesha ya Mpare, anakataa afu kulee naona km ina sounds kwelii vilee, aaah [emoji23][emoji23][emoji23]

Mie natafuta kazi ya kwenda mambele kuosha vikongwe na vizee,
Ambition plus naomba msaada wa connection za kuzamia huko plz.
😹😹😹 Kadakwa kizembe na ujanja wake wote kaungwa telegram na kina Asha jibwa 🤣

Vikongwe vinatemea mate wahudumu.
Hizo kazi mwenye connection nazo Vincenzo Jr mwambie akuunganishe..!!

Ila nilivyo kauzu huyo kikongwe wa kutemea mate angechezea kelbu na vifinyo 😹
 
Back
Top Bottom