chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,037
- 3,080
Asante wewe ni binti mstaarabu, nahisi nimeanza kukupenda sana...Nipoo
Karibu selfika mzee
Asante wewe ni binti mstaarabu, nahisi nimeanza kukupenda sana...Nipoo
Karibu selfika mzee
Neno mstaarabu ni dogo sana ,huyo ni dada mtumishi!Asante wewe ni binti mstaarabu, nahisi nimeanza kukupenda sana...
Sawa darlingMsimu wa mvua my diha nalima
🙏🤝🤝Neno mstaarabu ni dogo sana ,huyo ni dada mtumishi!
Mambo yanaendaje Mtaa huu, RafikiNipoo
Karibu selfika mzee
NakusilimiaNeno mstaarabu ni dogo sana ,huyo ni dada mtumishi!na
Huku ni shwari mnoMambo yanaendaje Mtaa huu, Rafiki
Sawa sawa,we lima mie nakuja kupanda ,kuvuna, tukauze woteMsimu wa mvua my diha nalima
Hahahaha,mie naogopaga pakiwaka moto humuHuku ni shwari mno
Jana palibamba mmekosa mambo 😃
okay, nilikua sijui hilo. Lakini umeona nilichoona kwake... kumbe ni mtumishi. Nimefurahi sanaNeno mstaarabu ni dogo sana ,huyo ni dada mtumishi!
🤣🤣🤣🤣Hahahaha,mie naogopaga pakiwaka moto humu
Tayana una nyota kali ya kupendwa. 😹Karibu sana mzee wangu
Labella
Dada yangu mnjuri njuri 🥰🥰Msimu wa mvua my diha nalima
anakitu cha kipekee huyu binti, nimetafakari sana kabla ya kuja kuweka wazi hapaTayana una nyota kali ya kupendwa. 😹
chai ya rangi chukua Miss selfika wetu umemuona alivyopoa?
Na mimi nimeokoka sasa hivi 😹Neno mstaarabu ni dogo sana ,huyo ni dada mtumishi!
Huyo hata mimi nimepitisha ni mtu kweli sio robot 😹anakitu cha kipekee huyu binti, nimetafakari sana kabla ya kuja kuweka wazi hapa
Hiyo ya kusepa ndio yenyewe,Tena unasepa hasa🤣🤣🤣🤣
Hamna sahivi amani tu
Pakiwaka we unasepa zako unawaacha wenye moto wao...
Mbona nyotaaa🤣🤣Tayana una nyota kali ya kupendwa. 😹
chai ya rangi chukua Miss selfika wetu umemuona alivyopoa?