Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hebu nifute tambala langu la blue miee kesho nisikute machinga washazoom mpka washapangiana na bei😁
JF ni kwa matajiri binti, usiselfika na hizo za alfu tatu tatu 😂😂

Awkward Season 1 GIF by The Roku Channel.gif
 
Mtapewa maini mapya mbinguni, pigeni vyombo 😅
Mungu mwenyewe anaangalia moyo we unataka ukamringishie nani maini yako mapya mbinguni😅
Eenhe we nenda kakisugue kama unang’arisha sufuria, maumivu yatakayofuatia baada ya hapo nina uhakika hautarudia tena 😂
Hahahah nitameza pen v! Kwahiyo nikipake mafuta au sabuni🌚
 
Back
Top Bottom