Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,489
Oya mwacheni ndugu yangu, apumzike kwa amaniπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ
Babu Migambuti jamani dah! Kitambo sana πΉπΉ
Uduguu umenikumbusha wayback enzi kichwa kipo moto. Team Antonia kindakindaki
Ila ile vita tuliipiga mpk babu Miga akasepa mazima..!!
Babu Miga kokote ulipo njoo sasa hivi tumekua mabinti wenye adabu. Tumekumiss wenzio
Nimekumbuka alivyokutafutia kazi afu kazi yenyewe hamna πΉπΉπΉ
Kichwa kina mambo mengi, niache kukaza kutafuta pesa nije kukaza nisiweke picha za humu?Kaza Mtoto wa kiume
Onhoo ni nzuri kwakweli, zinakufanya uonekane natural. muda wowote unakaribishwa dear ππNatamani sanaa niwe na Rasii, nweiii nitakapokuwa tayari nitakufata unipe muongozo sahihi. [emoji120]
Kama kuwa mtulivu Ume shindwa, hizo rasi si utasema zina kunyonga?Natamani sanaa niwe na Rasii, nweiii nitakapokuwa tayari nitakufata unipe muongozo sahihi. [emoji120]
Ishu n kwamba Pic za wengine ww unazpost humu ww kama nani, h ndo point yangu.Kichwa kina mambo mengi, niache kukaza kutafuta pesa nije kukaza nisiweke picha za humu?
Ntajitahidii, Ila nikishindwa potelea mbaliβΉοΈ
Yaan sijategemea imekuwa ghafla sana π₯²πEwaaaah!!
Nitumie π»Nitapigwa ban pacha, ila nita kutumia usijali π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Babu Migambuti jamani dah! Kitambo sana [emoji81][emoji81]
Uduguu umenikumbusha wayback enzi kichwa kipo moto. Team Antonia kindakindaki
Ila ile vita tuliipiga mpk babu Miga akasepa mazima..!!
Babu Miga kokote ulipo njoo sasa hivi tumekua mabinti wenye adabu. Tumekumiss wenzio
Nimekumbuka alivyokutafutia kazi afu kazi yenyewe hamna [emoji81][emoji81][emoji81]
πππKama kuwa mtulivu Ume shindwa, hizo rasi si utasema zina kunyonga?
Nikumbushe kukikucha, ili nioneNitumie π»
Ntakuwekeaaa mahii uduguuu, afu uzuri yeye yuko anapitaa kimya kimyaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Wala usigombane uduguu wangu muache atarudi mwenyewe..!!
Huyo R huna pic yake nimuone uduguu umemsifia sana.
Usiogope bana hata wakisave wanakujua?Sirudii tena naogopa wanasave π₯²
Hamna chica hanaga mambo mengi bana πΉHupendagi amani kabisa, full kulipuka uharibu
ππ Hapana acha niendelee kutojulikana tu nitapita siku nyingine kumetuliaUsiogope bana hata wakisave wanakujua?
Subhanalah, ushaanza kutingisha meza za watu ebooHamna chica hanaga mambo mengi bana πΉ
Poleee mahiiYaan sijategemea imekuwa ghafla sana π₯²[emoji24]
Mcharuko huyo, kama vendeta kwenye dragon ball zπππ
Mambo yataharibikajee? Kwani unashare bwana na mtu humu? Unatuma mpodido wako kwa watu PM? Km hufanyi hivyo walaa wee tembea kifua mbeleee.Mimi ni mpole siwezi hata kujielezea nisije anza kulia bure [emoji3][emoji1787].
Mambo ya Hekaheka mnayaweza nyie siku mambo yakiharibika nitawaita mnitetee
We dogo mbona unaanza mikwara tena?Ishu n kwamba Pic za wengine ww unazpost humu ww kama nani, h ndo point yangu.
Ahsantee sanaa, [emoji120][emoji120]Onhoo ni nzuri kwakweli, zinakufanya uonekane natural. muda wowote unakaribishwa dear [emoji7][emoji7]