cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,069
Em weka pichaaa bhanaaa,Tulia [emoji41]
Em weka pichaaa bhanaaa,Tulia [emoji41]
Iko lelee leeee 😹Selfika imewaka 🔥
Ku save lazima😩🤣Kumbeee
Ndo maana watu hawataki ku selfika sikuhiz🤣
Wahenga hawaamini wanachokiona 😹Si ndioooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemuona mabakuli pia kawasili🔥Hatimae Mbaga Jr amewasili🤣
Leo umenifurahisha sana dogo, najua hilo lishangazi ulilidinya💪🏿Twende sawa na uzi sasa, maneno tupa kuleee.
Huna baya Aaliyah😍Bagia za kunde sijawah kuzipikab ila vilivyobaki najua
Kumbe🤔😃🏃Ku save lazima😩🤣
We ruka tu mwanangu, mi naangalia movie hapa. Au nipige picha ya movie room?
Ndo nani tena😃Nimemuona mabakuli pia kawasili🔥
Mviziaji upo😅Leo 🙌
Sasa mama mtumishi hizi gb 256 zitajaaje bila kusave picha😩😩Kumbe🤔😃🏃
Ulikuwa wapi umechelewaLeo 🙌
😀😀 kama kawaida yanguMviziaji upo😅
🤣🤣au sioSasa mama mtumishi hizi gb 256 zitajaaje bila kusave picha😩😩
Elon musk wa AINdo nani tena😃
Simba mwendapole …… 😅😅 ingawa leo sijabahatisha yako hata mojaUlikuwa wapi umechelewa
Au ulikuwa unapita kimyakimya😃
Hii pic mpk imeni turn on 😻😻😻