Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
Ifike time katibu wako naye apate bwana sasa JF 😹😹Kashaelewa
Mbaga unataka katibu wangu aongee lugha gani??😎😎
Ifike time katibu wako naye apate bwana sasa JF 😹😹Kashaelewa
Mbaga unataka katibu wangu aongee lugha gani??😎😎
Basi yameisha🤣Weeeee acha mambo yakl🤣
Acha zako, siku nzima una nasa tu😅😅 leo acha nitulize komwe
Nikajua ume selfika, kumbe una itisha roll callMbaga Jr na Intelligent businessman leo nimewaotea mchana na sahivi
Leo tulikua tunasafisha uwanja, kesho mapema wahi hapa 😹😹We mwenyewe bado
Ni shwaaaa 😀 sema wewe huwa unaniotea sana mbonaAcha zako, siku nzima una nasa tu
WeuweeeeeeIfike time katibu wako naye apate bwana sasa JF 😹😹
😂😂 ngoja nipite nakedNikajua ume selfika, kumbe una itisha roll call
😹😹😹 chica huniamini kipenzi?🤣🤣🤣 naijua hiyo
🤣🤣🤣Huyu mpuuzi cocastic yuko wapi mm nataka kufuta picha bhana
😀😀😀 Min ni mlevi achana naye usimuamini sana😹😹😹 chica huniamini kipenzi?
Weka bana nikuone naona min me anakusifia sana.
😹😹😹 Mlinde wasiniibie mana nyaku nyaku wako macho sana JF
🤣🤣🤣🙌🙌hawawezji😹😹😹 Mlinde wasiniibie mana nyaku nyaku wako macho sana JF
Walevi hawasemi uongo 😹😹😀😀😀 Min ni mlevi achana naye usimuamini sana
Niichukue nimuhifadhie? 😜
Na kwako pia, nilikuwa najiandaa nipite nakedUsiku mwemaaaa jmm
MuongooNa kwako pia, nilikuwa najiandaa nipite naked
Ni pombe zile siyo yeye, kwanza unanijua sana hebu niache puliz 😂Walevi hawasemi uongo 😹😹