Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

1000013749.jpg
1000013756.jpg
 
 
Sidhani kama ntatoboa make saivi nakula mara tatu ya chakula nilichokuwa nakula mwanzo if not that ikiwa chakula kidogo kidogo but ntakula several times a day! Mtoto ni ananyonya sana kiasi Kwamba muda mwingi nahisi njaa inayonilazimu kula.
Kama unanyonyesha hauna ujanja, matiti yatapungua ukimaliza kunyonyesha ila tumbo sijui
 
Back
Top Bottom