ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,978
- 40,093
Wewe yako inamtoa nyoka pangoni bebi?hebu tuwekewe tu tuanze kusikia sauti za kumtoa nyoka pangoni
Wewe yako inamtoa nyoka pangoni bebi?hebu tuwekewe tu tuanze kusikia sauti za kumtoa nyoka pangoni
ngoja nikutapike kwanza😆😆😆,,Yeuwiiiii wallah nitafurahi nisikie sauti ya watu fulani😂 ila mie yangu sitatuma akuu
Mie yangu mbaya itazua taharuki dear 🏃♂️🏃♂️ngoja nikutapike kwanza😆😆😆,,
yani option ya voic note uitake wew alf saivi unasema hauwezi kutuma v kwanini mumchoshe ba mdogo melo😆
kwenye kuzua taharuki sikupingi mwanetu maana ukianza tu "ujue my"😆😆 kuna baadhi ya milingoti lazima isimame👌Mie yangu mbaya itazua taharuki dear 🏃♂️🏃♂️
Hili fridge haligandishi😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️kwenye kuzua taharuki sikupingi mwanetu maana ukianza tu "ujue my"😆😆 kuna baadhi ya milingoti lazima isimame👌
njoo kwanza bwanaHili fridge haligandishi😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Gudubai darling ♥️
Nimekuja mama ujue nimeshangaa kule usiku wa manane mnaweka sijui saa nilitaka niulize kwan mpo nchi ambapo ni usiku heh kumbe ni usiku kweli😂😂😂🙌🙌njoo kwanza bwana
kwahiyo mwenzetu ulijua saivi ni saa ngapi 😂😂Nimekuja mama ujue nimeshangaa kule usiku wa manane mnaweka sijui saa nilitaka niulize kwan mpo nchi ambapo ni usiku heh kumbe ni usiku kweli😂😂😂🙌🙌
Hata sijui nipo zangu ndani since morningkwahiyo mwenzetu ulijua saivi ni saa ngapi 😂😂
poleee kwahiyo haujala? mbona utaniua na njaa sasa nikija hukoHata sijui nipo zangu ndani since morning
Nimechungulia dirishani ndio nagundua kumbe tunaitafuta sa sita
Nazeeka aisee
Mahi kwani kula mpka utoke njee jamani au umesahau kama kunaweza kua na kiporo kwa firijiiiipoleee kwahiyo haujala? mbona utaniua na njaa sasa nikija huko
nilisahau sweetpie wangu,,Mahi kwani kula mpka utoke njee jamani au umesahau kama kunaweza kua na kiporo kwa firijiiii
Babe ukija nitakupikia huo ni uhakika 🥰
Welcome darlingnilisahau sweetpie wangu,,
cant wait myG bado siku chache nianze kuonja radha ya mikono yako🤗😋
woyoooo usimalize maneno mailavu, haujui tu nina shauku kiasi gani🤭👌Welcome darling
Nita treat like queen 👸
Lovie ❤️woyoooo usimalize maneno mailavu, haujui tu nina shauku kiasi gani🤭👌
Ungepigwa fine binti!🤣nilikua naikimbilia isiende kwenye mashamba ya watu😆
Zile zilikuwa za wakush usingeweza🤣kwahiyo mmeselfka kimy kimya😭
Pole mwayaasame here ila nina maumivu ya moyo nimekoswa mafuta yangu ya mwili aina ya jumbo😭
Kwanini mnachat kama wapenzi? Ngoja muitwe lesbos🤣woyoooo usimalize maneno mailavu, haujui tu nina shauku kiasi gani🤭👌
yaan acha tu ila nilibahatika kuziwahi,, vip lakin mmeamkaje huko dun-yaniUngepigwa fine binti!🤣