Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 82,007
Karibu tena jf ulipotelea wapi 😎Spain hii hii ya tandahimba boss..!?
Ahsante kwa salamu Poker
Karibu tena jf ulipotelea wapi 😎Spain hii hii ya tandahimba boss..!?
Ahsante kwa salamu Poker
ahsante sana Vinnie…!Karibu tena jf ulipotelea wapi 😎
Shusha vitu hivo SeranNimerudi ma mchungaji, uko wapi tujianike? Tayana-wog
Nikiona hata ule mguu wako wa bia mie ntalala unono mrembo wa kisukuma.Unataka kujiokotea sagula poker😁
Mwanza lini kakaNikiona hata ule mguu wako wa bia mie ntalala unono mrembo wa kisukuma.
Ila poker🤣 weka hata pua kwanza aisee!Nikiona hata ule mguu wako wa bia mie ntalala unono mrembo wa kisukuma.
Ayaaa ndo nimerudiNimerudi ma mchungaji, uko wapi tujianike? Tayana-wog
Huwa nakunywa maji na soda tuKaka unatumia kinywaji gani?