Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,432
Si ndiyo nimepita na Ras 😀Huwa anasoma kimya kimya 😁
Si ndiyo nimepita na Ras 😀Huwa anasoma kimya kimya 😁
Mkuu mimi ni "secret admirer" wako.mshamba_hachekwi naye kaona 🥹
Wee 😎kumbeMkuu mimi ni "secret admirer" wako.
Ndio mkuu ila nitafanyaje sasa mshamba wa watu naishia kula kwa macho.Wee 😎kumbe
Mimi mwenyewe mshamba🥹 pita basi nipite nakedNdio mkuu ila nitafanyaje sasa mshamba wa watu naishia kula kwa macho.
Unanipa wakati mgumu mkuu, ila nitaangalia namna😥Mimi mwenyewe mshamba🥹 pita basi nipite naked
Namna gani tena🥲Unanipa wakati mgumu mkuu, ila nitaangalia namna😥
Ya kulipa hili deni languNamna gani tena🥲
Deni lipi tena?Ya kulipa hili deni langu
Hili unalolidai—La pichaDeni lipi tena?
Sawa nasubiri hili deniHili unalolidai—La picha
Sawa 😅ngoja nipite mbili za mwishoNipo rasta wangu nipo 😃
Hayo ndo maneno sasa😎Sawa 😅ngoja nipite mbili za mwisho
Dk 0Hayo ndo maneno sasa😎
🤣🤣🤣mahii umeanza uchuro eeeh🤣🤣 huyo hawezi kufika huku kwetu acha mie niwafuate huko mjini jamani